Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

Sasa kwa akili zako 10 million ni ndogo?

Halafu GDP per capita sio kipimo sahihi cha kupima strength ya uchumi wa nchi

Mfano China's GDP per capita yake ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine lakini inapokuja kwenye suala la nominal GDP ni taifa namba 2 kwa uchumi mkubwa duniani

Labda tutumie tena GDP in Purchasing Power Parity (GDP PPP) tulinganishe Uganda na Tanzania tuone ipi iko vizuri

Tanzania GDP PPP: USD 2,787
Uganda GDP PPP: USD 2,339

Tanzania is ahead of Uganda in basic aspects of economy

Hata hio PPP unatumia data za zamani, PPP ya sasa ni zaidi ya dola 4000 Tanzania.
 
Sasa kwa akili zako 10 million ni ndogo?

Halafu GDP per capita sio kipimo sahihi cha kupima strength ya uchumi wa nchi

Mfano China's GDP per capita ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine lakini inapokuja kwenye suala la nominal GDP ni taifa namba 2 kwa uchumi mkubwa duniani.

Nominal GDP ndio kipimo hasa cha strength ya uchumi wa nchi kingine ni GDP in Purchasing Power Parity (GDP PPP)

Tulinganishe Uganda na Tanzania tuone ipi iko vizuri

Tanzania GDP PPP: USD 2,787
Uganda GDP PPP: USD 2,339

Tanzania is ahead of Uganda in both basic aspects of economy

Hapa umemaliza

Normal GDP na GDP PPP ndiyo vipimo bora vya kupima na kulinganisha ubora wa uchumi wa mataifa mbalimbali
 
Ila kwa upande wa nominal GDP bado Tanzania (USD 79 mln) imeiacha kwa mbali Uganda (USD 56 mln)

Population ya Tanzania ni kubwa ukilinganisha na ya Uganda ni sababu nyingine ya Uganda kuizidi Tanzania kwenye GDP per capita

Kwa sababu GDP per capita unaipata kwa kuigawanya nominal GDP kwa population ya nchi

Kwa akili yako, Tanzania inatakiwa kuwa na GDP per capita kubwa kuliko ya USA au Brazili kwa sababu hao ni wengi zaidi ya mara 4 ya Watanzania?​

Unachotakiwa kufahamu ni kuwa kama GDP per capita ya Tanzania ni ndogo kuliko ya Uganda, hiyo inaashiria maendeleo ya uchumi wetu ni duni kuliko yale ya Uganda. Maana .kiwa wengi mnatakiwa mzalushe zaidi kuliko wachache, na wastani wa pato lenu utaendana na uzalishaji wenu. Kama wastani wa pato la kila mmoja ni dogo inamaanisha wastani wa uzalishaji wenu wa kila mmoja ni mdogo.

Hongera kwa Waganda kwa walipofikia, tena nchi ambayo imepigana vita kadhaa vya ndani, ambavyo mara nyingi huzorotesha uchumi.
 
Hata hio PPP unatumia data za zamani, PPP ya sasa ni zaidi ya dola 4000 Tanzania.
Sawa
Unachotakiwa kufahamu ni kuwa kama GDP per capita ya Tanzania ni ndogo kuliko ya Uganda, hiyo inaashiria maendeleo ya uchumi wetu ni duni kuliko yale ya Uganda. Maana .kiwa wengi mnatakiwa mzalushe zaidi kuliko wachache, na wastani wa pato lenu utaendana na uzalishaji wenu. Kama wastani wa pato la kila mmoja ni dogo inamaanisha wastani wa uzalishaji wenu wa kila mmoja ni mdogo.

Hongera kwa Waganda kwa walipofikia, tena nchi ambayo imepigana vita kadhaa vya ndani, ambavyo mara nyingi huzorotesha uchumi.
Unajua kuna kitu unashindwa kuelewa inaweza ikawa per capita ni kubwa lakini ina hizi weakness 2:

Huenda walioshika uchumi ni wachache na welfare iko low maana per capita ni wastani tu ambapo ukubwa wake huwa unabebwa na low population

Angalia mataifa mengi yenye the highest per capita lazima utakuta yana population ndogo

Ndio maana wachumi wakaja na GDP PPP ili kulinganisha ustawi wa watu kiuchumi na kimaendeleo kati ya taifa moja na lingine kwa sababu ya weakness ya per capita

Ambapo Tanzania kwenye GDP PPP bado inafanya vizuri kuliko Uganda na kama haitoshi na bado kwenye nominal GDP iko vizuri zaidi ya Uganda
 
Alafu utasikia machawa wanasema anaupiga mwingi

Aibu yao
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba 2024.

Mtengeneza data wa IMF, mchakato unaoruhusu ulinganifu wa utendaji wa uchumi wa dunia, unatoa mwanga juu ya viashirio vingine muhimu vya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na ukuaji halisi wa Pato la Taifa, viwango vya uwekezaji, mizani ya fedha, na nafasi za madeni kote Uganda, Tanzania na Kenya.

Takwimu za IMF zinathibitisha kuwa mwaka 2025, Pato la Taifa la Uganda kwa kila mtu (bei za sasa) litafikia dola 1,300, ikipita dola 1,270 za Tanzania.

Unachotakiwa kufahamu ni kuwa kama GDP per capita ya Tanzania ni ndogo kuliko ya Uganda, hiyo inaashiria maendeleo ya uchumi wetu ni duni kuliko yale ya Uganda. Maana .kiwa wengi mnatakiwa mzalushe zaidi kuliko wachache, na wastani wa pato lenu utaendana na uzalishaji wenu. Kama wastani wa pato la kila mmoja ni dogo inamaanisha wastani wa uzalishaji wenu wa kila mmoja ni mdogo.

Hongera kwa Waganda kwa walipofikia, tena nchi ambayo imepigana vita kadhaa vya ndani, ambavyo mara nyingi huzorotesha uchumi.
Gpd per capita ya Tanzania sio ndogo, someni Acheni mihemko, bali estimation za Imf ni kwamba Gdp per capita ya Uganda 2025 itaipita ya Tanzania.

As of now mpaka mwisho wa 2024 Tanzania Gpd per capita 1220 usd
Uganda Gdp per capita 1190 usd

Source hio hio imf

Sawa

Unajua kuna kitu unashindwa kuelewa inaweza ikawa per capita ni kubwa lakini ina hizi weakness 2:

Huenda walioshika uchumi ni wachache na welfare iko low maana per capita ni wastani tu ambapo ukubwa wake huwa unabebwa na low population

Angalia mataifa mengi yenye the highest per capita lazima utakuta yana population ndogo

Ndio maana wachumi wakaja na GDP PPP ili kulinganisha ustawi wa watu kiuchumi na kimaendeleo kati ya taifa moja na lingine kwa sababu ya weakness ya per capita

Ambapo Tanzania kwenye GDP PPP bado inafanya vizuri kuliko Uganda na kama haitoshi na bado kwenye nominal GDP iko vizuri zaidi ya Uganda
Unachanganya vitu Mzee, kuna
GDP ambayo Inapima thamani ya vitu na huduma ambayo vimezalishwa ndani ya nchi kujali Nani ambaye amezalisha Kwa kutuma exchange rate rasmi ya nchi husika

GDP per Capita hii Inapima pato la MTU mmoja mmoja Kwa kuchukua GDP ya nchi na kugawanya Kwa idadi ya watu.

GDP per Capita pia hutumika kielelezo cha kuonyesha standard of living the same to GNI per capita- na hivi ndio Kipimo kinachotumika na serikali nyingi kuonyesha improvement ya uchumi

Kama GDP per capita NI ndogo na inapitwa na nchi nyingine inamaanisha GDP hakuwai ama imekuwa kidogo ukilinganisha na nchi nyingine

GDP PPP haijaundwa Kwa sababu ya weakness ya per capita Bali na wala hainyoshi ustawi WA watu kama ulivyodai.

Maana hata GDP PPP kuna GDP PPP per capita.

GDP PPP imeundwa Kwa sababu ya tofauti ya tofauti ya exchange rate za currency na cost of living kutofautiana nchi na nchi.

Yaani GDP PPP Inapima GDP Kwa kuangalia gharama ya hiyo bidhaa iliyozalishwa nchini kwako kwenye nchi nyingine tuseme marekani.

Kwa mfano nimelima maNanasi mawili hapa nchini ambayo thamani yake ni sh 2000 ambayo ni Sawa na $0.7 na mkulima WA marekani akalima nanasi moja ambayo Kwa kule ni $2.

KWa kutuma GDP mimi niliyelima maNanasi mawili uchumi wangu ni 0.7, ambayo ni ndogo kuliko $2 ya nanasi moja USA.

Kwa Kipimo cha GDP PPP uchumi wangu ungekuwa $4, ndio maana china ina uchumi mkubwa duniani Kwa vipimo vya GDP PPP Kwa sababu wanazalisha vitu vingi Sana lakini sio vyote vinauzwa kwenye soko moja la USA. Ndio maana china wenyewe wapendelea zaidi kutumia nominal GDP

Hata GDP PPP haielezei welfare ya watu Bali ni adjustment ya exchange rate.

Pili uchumi WA Tanzania iwe kwenye nominal GDP ama vyovyote ukuaji wake umekuwa na shida na imeshindwa kufikia malengo yaliyoanishwa kwenye dira ya maendeleo ya vison 2025.

Malengo yalikuwa..
Uchumi WA Kati WA $3000 GDP per capita
Ukuaji WA uchumi WA 8% na GDP per capita ya 5% Kwa mwaka,,

Kati ya 2023-2024 GDP per capita imekuwa Kwa chini ya 2% Tu na uchumi kiujumla ni Kati 3%-4%, ndio muda tz imekuwa na tatizo kubwa ukosefu WA dola ya kutosha na tatizo umeme.

Ambapo Tanzania kwenye GDP PPP bado inafanya vizuri kuliko Uganda na kama haitoshi na bado kwenye nominal GDP iko vizuri zaidi ya Uganda
Kati 2018-2023 GDP ya Uganda imekuwa ilikuwa 5.2% na 6.3 ambayo Tanzania Kwa muda mwingi ni 5%. Hivyo TZ wala haifanyi vizuri kuliko ya Uganda in terms of GDP japo TZ ina uchumi mkubwa. Ambayo onezeko GDP Kwa ug imekuwa karibu dola bil 4-5 Kwa mwaka, wakati tz ni bil 3-4.

Kama yakiwa hivi Uganda itaipita GDP ya TZ miaka ya mbeleni ndani ya miongo miwili
 
Tlaatlaah gentleman tumeyakanyaga
Gentleman,
kwa data tu za kutumia fofigure sitaki kubisha, ila kiuhalisia waganda ni maskini wenye huzuni mno wasioweza kuizidi Tanzania kwa chochote.

hata hivyo,
kama Taifa makini hatuwezi kupuuza taarifa hizo bali tutatumia kama fursa ya kujiimarisha na kufanya vizuri zaidi kiuchumi 🐒
 
GDP per Capita hii Inapima pato la MTU mmoja mmoja Kwa kuchukua GDP ya nchi na kugawanya Kwa idadi ya watu.

GDP per Capita pia hutumika kielelezo cha kuonyesha standard of living
Unafahamu weakness ya kutumia GDP per capita?

Unafikiri inakupa hali halisi ya welfare au standard of living ya watu katika nchi husika?
 
Tofauti ya watu around 10million sio kitu cha kujitetetea, Tanzania ilipaswa iwe mbali sana, ni aibu kujilinganisha na viinchi vidogo vidogo kama Uganda au hata Kenya.
Tanzania ni nchi kubwa sana na yenye kila aina ya raslimali.
Ni kweli yani kuwa na bandari tu ni very big advantage ,hatujawa serious kabisa
 
Kama GDP per capita NI ndogo na inapitwa na nchi nyingine inamaanisha GDP hakuwai ama imekuwa kidogo ukilinganisha na nchi nyingine
China GDP per capita ni USD 12,969

Luxembourg GDP per capita in USD 142,214

Kati ya China na Luxembourg ni taifa lipi lina ukuaji mdogo na mkubwa wa nominal GDP?
 
Back
Top Bottom