Joseph Kasa-Vubu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 356
- 550
Acha dharau weweKwa huyu kiongozi mpumbavu tuliye naye tutapitwa na kila nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha dharau weweKwa huyu kiongozi mpumbavu tuliye naye tutapitwa na kila nchi
Hata hio PPP unatumia data za zamani, PPP ya sasa ni zaidi ya dola 4000 Tanzania.Sasa kwa akili zako 10 million ni ndogo?
Halafu GDP per capita sio kipimo sahihi cha kupima strength ya uchumi wa nchi
Mfano China's GDP per capita yake ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine lakini inapokuja kwenye suala la nominal GDP ni taifa namba 2 kwa uchumi mkubwa duniani
Labda tutumie tena GDP in Purchasing Power Parity (GDP PPP) tulinganishe Uganda na Tanzania tuone ipi iko vizuri
Tanzania GDP PPP: USD 2,787
Uganda GDP PPP: USD 2,339
Tanzania is ahead of Uganda in basic aspects of economy
Hapa umemalizaSasa kwa akili zako 10 million ni ndogo?
Halafu GDP per capita sio kipimo sahihi cha kupima strength ya uchumi wa nchi
Mfano China's GDP per capita ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine lakini inapokuja kwenye suala la nominal GDP ni taifa namba 2 kwa uchumi mkubwa duniani.
Nominal GDP ndio kipimo hasa cha strength ya uchumi wa nchi kingine ni GDP in Purchasing Power Parity (GDP PPP)
Tulinganishe Uganda na Tanzania tuone ipi iko vizuri
Tanzania GDP PPP: USD 2,787
Uganda GDP PPP: USD 2,339
Tanzania is ahead of Uganda in both basic aspects of economy
Mzee wa "my take"ChoiceVariable akiiona hii atalia sana
Bro fake I'd isikutoe kwenye reliKwa huyu kiongozi mpumbavu tuliye naye tutapitwa na kila nchi
Ila kwa upande wa nominal GDP bado Tanzania (USD 79 mln) imeiacha kwa mbali Uganda (USD 56 mln)
Population ya Tanzania ni kubwa ukilinganisha na ya Uganda ni sababu nyingine ya Uganda kuizidi Tanzania kwenye GDP per capita
Kwa sababu GDP per capita unaipata kwa kuigawanya nominal GDP kwa population ya nchi
Kwa akili yako, Tanzania inatakiwa kuwa na GDP per capita kubwa kuliko ya USA au Brazili kwa sababu hao ni wengi zaidi ya mara 4 ya Watanzania?
SawaHata hio PPP unatumia data za zamani, PPP ya sasa ni zaidi ya dola 4000 Tanzania.
Unachotakiwa kufahamu ni kuwa kama GDP per capita ya Tanzania ni ndogo kuliko ya Uganda, hiyo inaashiria maendeleo ya uchumi wetu ni duni kuliko yale ya Uganda. Maana .kiwa wengi mnatakiwa mzalushe zaidi kuliko wachache, na wastani wa pato lenu utaendana na uzalishaji wenu. Kama wastani wa pato la kila mmoja ni dogo inamaanisha wastani wa uzalishaji wenu wa kila mmoja ni mdogo.
Hongera kwa Waganda kwa walipofikia, tena nchi ambayo imepigana vita kadhaa vya ndani, ambavyo mara nyingi huzorotesha uchumi.
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba 2024.
Mtengeneza data wa IMF, mchakato unaoruhusu ulinganifu wa utendaji wa uchumi wa dunia, unatoa mwanga juu ya viashirio vingine muhimu vya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na ukuaji halisi wa Pato la Taifa, viwango vya uwekezaji, mizani ya fedha, na nafasi za madeni kote Uganda, Tanzania na Kenya.
Takwimu za IMF zinathibitisha kuwa mwaka 2025, Pato la Taifa la Uganda kwa kila mtu (bei za sasa) litafikia dola 1,300, ikipita dola 1,270 za Tanzania.
![]()
BIG STORY: Uganda Overtaking Tanzania in GDP Per Capita – IMF Data
Kampala – Uganda is surpassing Tanzania in GDP per capita, solidifying its position as one of East Africa’s fastest-growing economies, according to the latest analysis of the International Monetary Fund (IMF) data from the October 2024 World Economic Outlook. IMF’s datamapper, a process that...chimpreports.com
Nani anatumia fake I'd wewe kijambio cha samia bushiri🙄....kama ulikuwa ujui kuwa mpumbavu akipata uongozi upumbavu wake unazidigi siyo unapunguaBro fake I'd isikutoe kwenye reli
Gpd per capita ya Tanzania sio ndogo, someni Acheni mihemko, bali estimation za Imf ni kwamba Gdp per capita ya Uganda 2025 itaipita ya Tanzania.Unachotakiwa kufahamu ni kuwa kama GDP per capita ya Tanzania ni ndogo kuliko ya Uganda, hiyo inaashiria maendeleo ya uchumi wetu ni duni kuliko yale ya Uganda. Maana .kiwa wengi mnatakiwa mzalushe zaidi kuliko wachache, na wastani wa pato lenu utaendana na uzalishaji wenu. Kama wastani wa pato la kila mmoja ni dogo inamaanisha wastani wa uzalishaji wenu wa kila mmoja ni mdogo.
Hongera kwa Waganda kwa walipofikia, tena nchi ambayo imepigana vita kadhaa vya ndani, ambavyo mara nyingi huzorotesha uchumi.
Unachanganya vitu Mzee, kunaSawa
Unajua kuna kitu unashindwa kuelewa inaweza ikawa per capita ni kubwa lakini ina hizi weakness 2:
Huenda walioshika uchumi ni wachache na welfare iko low maana per capita ni wastani tu ambapo ukubwa wake huwa unabebwa na low population
Angalia mataifa mengi yenye the highest per capita lazima utakuta yana population ndogo
Ndio maana wachumi wakaja na GDP PPP ili kulinganisha ustawi wa watu kiuchumi na kimaendeleo kati ya taifa moja na lingine kwa sababu ya weakness ya per capita
Ambapo Tanzania kwenye GDP PPP bado inafanya vizuri kuliko Uganda na kama haitoshi na bado kwenye nominal GDP iko vizuri zaidi ya Uganda
Kati 2018-2023 GDP ya Uganda imekuwa ilikuwa 5.2% na 6.3 ambayo Tanzania Kwa muda mwingi ni 5%. Hivyo TZ wala haifanyi vizuri kuliko ya Uganda in terms of GDP japo TZ ina uchumi mkubwa. Ambayo onezeko GDP Kwa ug imekuwa karibu dola bil 4-5 Kwa mwaka, wakati tz ni bil 3-4.Ambapo Tanzania kwenye GDP PPP bado inafanya vizuri kuliko Uganda na kama haitoshi na bado kwenye nominal GDP iko vizuri zaidi ya Uganda
Gentleman,Tlaatlaah gentleman tumeyakanyaga
GDP per Capita hii Inapima pato la MTU mmoja mmoja Kwa kuchukua GDP ya nchi na kugawanya Kwa idadi ya watu.
GDP per Capita pia hutumika kielelezo cha kuonyesha standard of living
Ni kweli yani kuwa na bandari tu ni very big advantage ,hatujawa serious kabisaTofauti ya watu around 10million sio kitu cha kujitetetea, Tanzania ilipaswa iwe mbali sana, ni aibu kujilinganisha na viinchi vidogo vidogo kama Uganda au hata Kenya.
Tanzania ni nchi kubwa sana na yenye kila aina ya raslimali.
Kama GDP per capita NI ndogo na inapitwa na nchi nyingine inamaanisha GDP hakuwai ama imekuwa kidogo ukilinganisha na nchi nyingine