Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au sio?! Kwamba Samia ni Mama yangu?!Mama Damaso haupigi huo mwingi? Asingeupiga huo mwingi ungekuwepo wewe leo? Siku moja moja amkeni na akili zenu basi wasifieni hata Mama zenu nao wajisikie angalau
Kama yakiwa hivi Uganda itaipita GDP ya TZ miaka ya mbeleni ndani ya miongo miwili
https://www.imf.org/external/datamapper/profile/UGA https://www.imf.org/external/datamapper/profile/TZA
Mama Domaso Sa100 sio mama yako hajakuzaa wewe Sa100 watoto wake ni Wanu Amir Hafidh, Abdul Amir Hafidh, na wengine wewe haupo kwenye list ya watoto wakeAu sio?! Kwamba Samia ni Mama yangu?!
Acha uzushi wa kitoto basi,kwamba wastani wa ukuaji wa GDP awamu ya 6 na 5 ni 2.1 & 3% Kwa takwimu za chanzo kipi hasa?Haishangazi, GDP per capita ya Tanzania imekuwa na onezeko dogo Sana tangu 2016, mwenendo WA uchumi WA Tanzania chini ya Samia sio mzuri kabisa hata Kwa kumtazama exchange rate ya tZ ndani ya mwaka mmoja utaliona hili.
Uwezo wa Marais wa Tanzania kwa kuangalia ukuaji wa uchumi kwenye miaka mitano ya mwanzo (GDP per capita)
Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye ndogo (orodha hii imeondoa awamu ya kwanza na ya pili) 1. Rais Benjamin William Mkapa Kati ya mwaka...www.jamiiforums.com
Tanzania ikikohoa EAC lazima wastuke wote.Ila Nchi yenu ndio Marekani ya Afrika au sio?
Kwa hio hapa Kizimkazi unemployment ipo vizuri sana au sio?unemployment wako hovyo kabisa.
Mume ni daktari na mke ni mwalimu wa sekondari. Wana watoto watatu. Jumla ya pato ni million 10 kwa mwezi. Wastani wa kipato ni million 2 kwa kila mwanafamilia kwa mwezi.Tofauti ya watu around 10million sio kitu cha kujitetetea, Tanzania ilipaswa iwe mbali sana, ni aibu kujilinganisha na viinchi vidogo vidogo kama Uganda au hata Kenya.
Tanzania ni nchi kubwa sana na yenye kila aina ya raslimali.
Na haziwezi kupikwa ili ziegemee negative sasa kama ni hivyo basi hamna haja ya kupika.Zinapikwa wapi?
Kwamba zikiegemea positive zimepikwa.ila.zikiegemea hasi hazijapikwa 😂😂
Zero brain
Nazifahamu zote, GDP(GNI) kiujumla inadeal na quantity hai-count vitu vingi kama income distribution.Unafahamu weakness ya kutumia GDP per capita?
Unafikiri inakupa hali halisi ya welfare au standard of living ya watu katika nchi husika?
Taarifa za deni la Taifa ambalo alikuwa anaongea Mpina zilitoa wapi?Na haziwezi kupikwa ili ziegemee negative sasa kama ni hivyo basi hamna haja ya kupika.
Nyumbu Huwa wanashangilia mambo wasiyoyajua.Unafahamu weakness ya kutumia GDP per capita?
Unafikiri inakupa hali halisi ya welfare au standard of living ya watu katika nchi husika?
Nadhani umeni-quote vibaya na ume-refer hiyo linki ambayo imezungumzia wastani wa ukuaji WA GDP per capita na hoja yangu iko hapoAcha uzushi wa kitoto basi,kwamba wastani wa ukuaji wa GDP awamu ya 6 na 5 ni 2.1 & 3% Kwa takwimu za chanzo kipi hasa?
Wastani wa ukuaji wa Uchumi kuanzia 2021 umekuwa ni 4% na hii ni sababu za Hali ya kidunia na so vinginevyo.
Hata hivyo Tanzania imekuwa na ukuaji mzuri kushinda Nchi zote za EAC Kwa miaka yote Toka 2021 isipokuwamwaka Jana na juzi baada ya Uganda kuanza kula hela za Mafuta.
Nazifahamu zote, GDP(GNI) kiujumla inadeal na quantity hai-count vitu vingi kama income distribution.
Sasa kwa akili zako 10 million ni ndogo?
Halafu GDP per capita sio kipimo sahihi cha kupima strength ya uchumi wa nchi
Mfano China's GDP per capita ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine lakini inapokuja kwenye suala la nominal GDP ni taifa namba 2 kwa uchumi mkubwa duniani.
Nominal GDP ndio kipimo hasa cha strength ya uchumi wa nchi kingine ni GDP in Purchasing Power Parity (GDP PPP)
Tulinganishe Uganda na Tanzania tuone ipi iko vizuri
Tanzania GDP PPP: USD 2,787
Uganda GDP PPP: USD 2,339
Tanzania is ahead of Uganda in both basic aspects of strong economy