PreGE2025 Patrick Assenga ajutia kuondoka CHADEMA, amlaumu Boniface Jacob kwa kutokusema ukweli mapema. Amuomba Mungu ampe ujasiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Ama kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga.


Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama mpira wa Kona? SEGEREA hakukaliki, ROMBO ndio kabisa…hii habari za hii CHAUMMA zishakuwa ngumu kueleweka?

Naendelea kutafakari hatima yangu kisiasa, Mungu nijaze UJASIRI.
 
Nimecheka mpaka nimepaliwa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shetani hana rafiki, ccm imewadanganya wakaingia mkenge imewatosa.

Halafu inaonekana Freeman Mbowe pia amewaingiza cha kike, amepima upepo ameona wananchi wala hawashtushwi na maigizo yao Mbowe amewachenjia gia angani anabaki nyumbani Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…