Mkuu,naomba mrejesho wa press conference ya Bony Yai ndugu yangu maana tangu ulipoleta taarifa ya mkutano kwa shangwe la kutosha nina imani shangwe la mrejesho litakua lina hadhi ya kimataifa. Lete mkuu huo mrejesho.Kama chadema walifoji barua ya Baraza la Maaskofu, sembuse hii tweet
Nyumbu wa chadema chakavu Wana akili basi?!!!! Hata mtoto wa miezi sita anaweza kuelewa hapo kuwa Kuna namna ya ujinga flani unaendeleaNi akaunti yake kweli?
🤣🤣🤣🤣🤣Kama chadema walifoji barua ya Baraza la Maaskofu, sembuse hii tweet
Of course katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu kujifariji🙏🙏🙏Lile bomu alilopasua Boniyai limeisambaratisha kabisa G 55
Nami nashindwa kujuwa kama haya yana ukweli wowote ndani yake.Ni akaunti yake kweli?
Nani atamuamini?Ama kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga.
View attachment 3338470
Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama mpira wa Kona? SEGEREA hakukaliki, ROMBO ndio kabisa…hii habari za hii CHAUMMA zishakuwa ngumu kueleweka?
Naendelea kutafakari hatima yangu kisiasa, Mungu nijaze UJASIRI.
Naona kama kuna Nguvu fulani isiyo ya kawaida inapita humo.Mungu anaitakasa CHADEMA na kuwandoa wote ambao anaona watasaliti mapambano imegine mtu hata hajui anaondokea nini?😂😂
Hata mwezi bado😀😀Mbona mapema sana!
Lumumba wanadai yule Bon Yai aliyefanya press conference leo ni clone. Bon mwenyewe hajaongea bado. Ataongea akiwa CHAUMAKama chadema walifoji barua ya Baraza la Maaskofu, sembuse hii tweet
Boni alisema hakuna mtu mgumu kumshauri kama mtu anayekaribia kutapeliwaAma kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga.
View attachment 3338470
Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama mpira wa Kona? SEGEREA hakukaliki, ROMBO ndio kabisa…hii habari za hii CHAUMMA zishakuwa ngumu kueleweka?
Naendelea kutafakari hatima yangu kisiasa, Mungu nijaze UJASIRI.
Naungana na wewe ,haiwezekani CHAMA chako.kinatendewa hivi na viongozi , tena kwa kutumia jina lako! Then ukae kimya tu .Hata Bon Yai bado siamini kivilee ,inawezekana ni walewale ...aidha kasoma upepo ,au ni danganya toto! No Reform no election!Shetani hana rafiki, ccm imewadanganya wakaingia mkenge imewatosa.
Halafu inaonekana Freeman Mbowe pia amewaingiza cha kike, amepima upepo ameona wananchi wala hawashtushwi na maigizo yao Mbowe amewachenjia gia angani anabaki nyumbani Chadema.
Jamaa wamefanya Wrong move kabisa, Hawa Kuna kitu walikuwa Promised apart from Pesa itakuwa wamepewa tu pesa wakaona acha Watengeneze Political scene na turbulence, CCM ni jabali, Wameshakuwa used kama Toilet paper sasa wamekuwa Burden ni vyema Kuwatua tu mana tayari ni MizigoShetani hana rafiki, ccm imewadanganya wakaingia mkenge imewatosa.
Halafu inaonekana Freeman Mbowe pia amewaingiza cha kike, amepima upepo ameona wananchi wala hawashtushwi na maigizo yao Mbowe amewachenjia gia angani anabaki nyumbani Chadema.
Mzee mzima anadanganywa kivipi? Mahesabu yamegoma anatafuta gia ya kumrudisha.Ama kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga.
View attachment 3338470
Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama mpira wa Kona? SEGEREA hakukaliki, ROMBO ndio kabisa…hii habari za hii CHAUMMA zishakuwa ngumu kueleweka?
Naendelea kutafakari hatima yangu kisiasa, Mungu nijaze UJASIRI.
Kwa kweli Assenga kamanda wangu ilijijenga vizuri na sauti yako ikswa inasikika mitaani. Leo hii unabo.oa unataka kuanza upya.Ama kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga.
View attachment 3338470
Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama mpira wa Kona? SEGEREA hakukaliki, ROMBO ndio kabisa…hii habari za hii CHAUMMA zishakuwa ngumu kueleweka?
Naendelea kutafakari hatima yangu kisiasa, Mungu nijaze UJASIRI.
Rushwa rushwa inawatafuna hawa wapumbavuAma kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga.