Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Tamaa ya vipande vya fedha hawa wajingaPoor calculation...
Tamaa ya vipande vya fedha hawa wajingaPoor calculation...
Hahaha mi nimecheka ki CCM hahahaNimecheka mpaka nimepaliwa🤣🤣🤣🤣🤣
Mtu mzima akitubu anatakiwa same hewa, uyu Bwana kaonesha hekima ya juu sana asameheweAma kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga.
View attachment 3338470
Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama mpira wa Kona? SEGEREA hakukaliki, ROMBO ndio kabisa…hii habari za hii CHAUMMA zishakuwa ngumu kueleweka?
Naendelea kutafakari hatima yangu kisiasa, Mungu nijaze UJASIRI.
Waende Chauma/Act wazalendo Ili wapumzike kwanza.G55 ya Mrema ni kituko kikubwa zaidi cha siasa kuwahi kutokea nchi hii.
Hapana mkuu ,kwa hili ameonesha hekima kubwa asameheweSi yeye tu, karibu wote wanajuta, Sasa huyu kijana alishaonyesha usaliti, mwache akafie mbele
JIPE UJASIRI HAKUNA UBAYA KAMANDA WWWE NI MUHIMU SANAAma kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga.
View attachment 3338470
Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama mpira wa Kona? SEGEREA hakukaliki, ROMBO ndio kabisa…hii habari za hii CHAUMMA zishakuwa ngumu kueleweka?
Naendelea kutafakari hatima yangu kisiasa, Mungu nijaze UJASIRI.
SureMtu mzima akitubu anatakiwa same hewa, uyu Bwana kaonesha hekima ya juu sana asamehewe
Waulize huyo kama ni kweli ni account yake atakuwa hajapewa pesa na CCM?Kwa sababu ili kuficha madhaifu yao ya kiutendaji huwa wanasingizia CCM.Arudi tuu, chadema tutampokea mana n kawaida kupokea mapooza wasaliti
Amenyimwa mgao huyo 😂Waulize huyo kama ni kweli ni account yake atakuwa hajapewa pesa na CCM?Kwa sababu ili kuficha madhaifu yao ya kiutendaji huwa wanasingizia CCM.