PreGE2025 Patrick Assenga ajutia kuondoka CHADEMA, amlaumu Boniface Jacob kwa kutokusema ukweli mapema. Amuomba Mungu ampe ujasiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama chadema walifoji barua ya Baraza la Maaskofu, sembuse hii tweet
 
Kama chadema walifoji barua ya Baraza la Maaskofu, sembuse hii tweet
Mkuu,naomba mrejesho wa press conference ya Bony Yai ndugu yangu maana tangu ulipoleta taarifa ya mkutano kwa shangwe la kutosha nina imani shangwe la mrejesho litakua lina hadhi ya kimataifa. Lete mkuu huo mrejesho.
 
Nani atamuamini?
 
Mungu anaitakasa CHADEMA na kuwandoa wote ambao anaona watasaliti mapambano imegine mtu hata hajui anaondokea nini?😂😂
Naona kama kuna Nguvu fulani isiyo ya kawaida inapita humo.
 
Kama chadema walifoji barua ya Baraza la Maaskofu, sembuse hii tweet
Lumumba wanadai yule Bon Yai aliyefanya press conference leo ni clone. Bon mwenyewe hajaongea bado. Ataongea akiwa CHAUMA
 
Boni alisema hakuna mtu mgumu kumshauri kama mtu anayekaribia kutapeliwa
 
Shetani hana rafiki, ccm imewadanganya wakaingia mkenge imewatosa.

Halafu inaonekana Freeman Mbowe pia amewaingiza cha kike, amepima upepo ameona wananchi wala hawashtushwi na maigizo yao Mbowe amewachenjia gia angani anabaki nyumbani Chadema.
Naungana na wewe ,haiwezekani CHAMA chako.kinatendewa hivi na viongozi , tena kwa kutumia jina lako! Then ukae kimya tu .Hata Bon Yai bado siamini kivilee ,inawezekana ni walewale ...aidha kasoma upepo ,au ni danganya toto! No Reform no election!
 
Shetani hana rafiki, ccm imewadanganya wakaingia mkenge imewatosa.

Halafu inaonekana Freeman Mbowe pia amewaingiza cha kike, amepima upepo ameona wananchi wala hawashtushwi na maigizo yao Mbowe amewachenjia gia angani anabaki nyumbani Chadema.
Jamaa wamefanya Wrong move kabisa, Hawa Kuna kitu walikuwa Promised apart from Pesa itakuwa wamepewa tu pesa wakaona acha Watengeneze Political scene na turbulence, CCM ni jabali, Wameshakuwa used kama Toilet paper sasa wamekuwa Burden ni vyema Kuwatua tu mana tayari ni Mizigo
 
Si walihubiri kuwa CHADEMA inakufa? Itakosa ruzuku? Haitaweza kuishi? Hahahahaa mwanzo mzuri
 
Mzee mzima anadanganywa kivipi? Mahesabu yamegoma anatafuta gia ya kumrudisha.

Maamuzi ya hasira siku zote ni mabovu, ni afadhali wangebaki na CHADEMA wanayoifahamu kuliko kwenda kusikijulikana.

Nguo ya kuazima kamwe haitawasitiri.
 
Kwa kweli Assenga kamanda wangu ilijijenga vizuri na sauti yako ikswa inasikika mitaani. Leo hii unabo.oa unataka kuanza upya.

Omba radhi fasta urudi kumdini. Angalia ukimya wa boss wako Mbowe
 
Rushwa rushwa inawatafuna hawa wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…