PreGE2025 Patrick Assenga ajutia kuondoka CHADEMA, amlaumu Boniface Jacob kwa kutokusema ukweli mapema. Amuomba Mungu ampe ujasiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mtu mzima akitubu anatakiwa same hewa, uyu Bwana kaonesha hekima ya juu sana asamehewe
 
JIPE UJASIRI HAKUNA UBAYA KAMANDA WWWE NI MUHIMU SANA
 
Arudi tuu, chadema tutampokea mana n kawaida kupokea mapooza wasaliti
 
Reactions: Tui
Arudi tuu, chadema tutampokea mana n kawaida kupokea mapooza wasaliti
Waulize huyo kama ni kweli ni account yake atakuwa hajapewa pesa na CCM?Kwa sababu ili kuficha madhaifu yao ya kiutendaji huwa wanasingizia CCM.
 
Waulize huyo kama ni kweli ni account yake atakuwa hajapewa pesa na CCM?Kwa sababu ili kuficha madhaifu yao ya kiutendaji huwa wanasingizia CCM.
Amenyimwa mgao huyo 😂
 
Reactions: Tui
Pole Asenga, umevamia chw Kike hicho - huna namna wale ni WAHUNI tu mmeshaliwa vichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…