John Fedha
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 624
- 717
Wazee wa tathmini , hata mzunguko wa pili bado mshaanza mambo yenu.
Tatizo Bongo kila mtu mchambuzi.
Tatizo Bongo kila mtu mchambuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe shabiki maandazi aisee..yani unataka kila mtu akubaliane na utumbo ulioandika hapo juu?? Sijui kama kweli wewe ni shabiki wa mpira achilia mbali kuwa shabiki wa Simba.Ulichoongea ni ushabiki wa kijinga tutaona hao wabrazili Kama watadumu hapo Simba zaidi ya mwaka mmoja
Vita alitufunga 5 lakini akashika mkia kwenye kundi hilo hilo, Simba ikatinga robo fainaliWenzio mliokuwa nao walifungwa magoli 10+?
Ni sawa na mwanachuo aliemaliza degree ya kwanza kwa kupata sup 7 na carry 2 GPA 1.8.
Jamaa hajui mpira, Fraga anakaba sana na hana madoido anacheza mpira wa kufundishwa, wengi hawalielewi hilo. Anajua ni kwanini kocha anampanga sana kwa sasa.Fraga(kiungo mkabaji haswaa) unamuona afai kwasabau hana mbwembwe za kupiga kanzu,tobo ila ni mchezaji mwenye kutekeleza majukumu yake uwanjani. Ila ni mchezaji mzuri tu.
Je nikikuuliza Fraga alichokosea nini kwenye mechi alizopangwa mkuu.
Simba were the quarter finalists in the African Club Championship, huko hawakukutana na timu mbovu za ligi kuu ya bongo.Hahaa nadhani hili ni jibu sahihi kabsa
5imba wanajipima uwezo na Vilaza halaf wakikutana na team ya kawaida kama UD SONGO wanapigwaa
endeleeni kusubiri msimu ujao
Bonge la jibu, atajua wapi wakati timu yake haijaingia makundiNi kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa wa Afrika. Hauwezi kufungwa hizo usipofikia hatua hiyo
Lakini degree si amepata? Huwezi kumlinganisha na mwenye Diploma. Hata hivyo kazini hawahitaji kujua ulisup au hukusup wanachotaka ni degree na utendaji wako. Be pragmatic dogo.Wenzio mliokuwa nao walifungwa magoli 10+?
Ni sawa na mwanachuo aliemaliza degree ya kwanza kwa kupata sup 7 na carry 2 GPA 1.8.
Kabisa hajui mpira jamaa.Jamaa hajui mpira, Fraga anakaba sana na hana madoido anacheza mpira wa kufundishwa, wengi hawalielewi hilo. Anajua ni kwanini kocha anampanga sana kwa sasa.
mikia FC hiyo.Mwanzoni Simba ilikuwa inacheza pasi fupifupi na taratibu baada ya ujio wa Patrick aussems Simba inacheza pasi za haraka na counter attack.
Lakini pia kitendo chake cha kuwapa nafasi karibia wachezaji wake wote kwenye kikosi chake kwa lugha nyingine anafanya rotation makocha wachache Sana wanafanya hiv. Ila kwenye CAF champion league ameangushwa na usajili wa miemuko wa viongozi wa Simba.
Hivi inaingia akili kwel unamsajili Deo Kanda mcheza na jukwaa unamuuacha Okwi mzee wa kazi,unamuuacha Haruna Niyonzima unamsajili Shubob wakati kulikuwa hakuna ulazima wakufanya hivo,wale wabrazili ndo takataka kabisa hata sitaki kuwazungumzia unaona kazi anayofanya Kenneth Juma anajua kutumia urefu wake vizuri anawin mipira yote ya juu tumeona kwenye mech ya Jana kiasi ambacho Wawa akawa kama yupo likizo lakini Lile librazili Gerson ni mrefu lakini hajui kutumia urefu wake lakini mara nyingi anakuwa out of position.
Unaenda kumsajili kiungo wa kibrazili ambaye hata robo ya uwezo wa Kotei hana hii ni akili au matope.
NB: next time uongozi wa Simba msifanye usajili wa miemuko ili mumsaidie Patrick Aussems kufanya kazi yake kwa ufanisi.
Mwanzoni Simba ilikuwa inacheza pasi fupifupi na taratibu baada ya ujio wa Patrick aussems Simba inacheza pasi za haraka na counter attack.
Lakini pia kitendo chake cha kuwapa nafasi karibia wachezaji wake wote kwenye kikosi chake kwa lugha nyingine anafanya rotation makocha wachache Sana wanafanya hiv. Ila kwenye CAF champion league ameangushwa na usajili wa miemuko wa viongozi wa Simba.
Hivi inaingia akili kwel unamsajili Deo Kanda mcheza na jukwaa unamuuacha Okwi mzee wa kazi,unamuuacha Haruna Niyonzima unamsajili Shubob wakati kulikuwa hakuna ulazima wakufanya hivo,wale wabrazili ndo takataka kabisa hata sitaki kuwazungumzia unaona kazi anayofanya Kenneth Juma anajua kutumia urefu wake vizuri anawin mipira yote ya juu tumeona kwenye mech ya Jana kiasi ambacho Wawa akawa kama yupo likizo lakini Lile librazili Gerson ni mrefu lakini hajui kutumia urefu wake lakini mara nyingi anakuwa out of position.
Unaenda kumsajili kiungo wa kibrazili ambaye hata robo ya uwezo wa Kotei hana hii ni akili au matope.
NB: next time uongozi wa Simba msifanye usajili wa miemuko ili mumsaidie Patrick Aussems kufanya kazi yake kwa ufanisi.
NB: msimu huu simba anaweza kuchukua ubingwa bila kufungwa au kutoa sare.
Kwa kikosi kilichopo kwa ligi ya bongo simba atasumbua lkn club bingwa hata mwakani bado ttzKwenye usajili Simba ilizingua sana kwa wale wahindi
Kwa wachezaji wa kibongo ninavyowajua hyo Dogo wakimuongezea mkataba na marupurupu kibao atabweteka na kujiona kafika....Kwa Fragas na Deo Kanda sijui wenzangu mnatumia vigezo gani. Wachezaji wapya wanaposajiliwa tunategemea wawazidi wale waliowakuta na waliondoka. Tukianza na Fragas je anakitu gani cha kumzidi sana Mkude pamoja na mapungufu yake? Je Kotei angekuwepo huyo Fragas angemuweka benchi. Tukija kwa Deo Kanda tulitegemea yeye ndio azibe pengo la Okwi lakini maajabu Miraji Athumani ndio anaziba pengo.
Tunapowazungumzia Deo Kanda na Fragas hatuna maana ni wachezaji wabaya hapana bali ni wachezaji ambao waliletwa ili kuiongezea Simba ufanisi lakini viwango vyao ni vya chini kulinganisha na wachezaji wazawa na wageni wenzao waliowakuta. Kwani tunategemea mchezaji mgeni akija alete ufundi ambao utawapa changamoto wachezaji wazawa. Na kwa Deo Kanda ndio kwanza benchi linamhusu atamfuata mwenzie Kahata kwenye mbao ndefu muda si mrefu kadiri injini ya Miraji inavyopata moto.
Ni wakati sasa viongozi wa Simba wakae chini na Miraji wamuongezee mshahara na marupurupu na wamfunge mkataba mpya wa muda mrefu wenye maslahi kwa pande zote mbili kwani umri unaruhusu na ameonyesha uwezo mkubwa kuliko hata wachezaji wa kigeni.
Na viongozi wasilaumiwe kwani unaweza kumuona mchezaji ni mzuri kwenye timu nyingine ukamsajili kwenye timu yako akacheza chini ya kiwango. Hata vilabu kama Barca, Madrid, Man U n.k. huwa vinakutana na tatizo hili.