Patrick Aussems ameibadilisha sana Simba SC

Patrick Aussems ameibadilisha sana Simba SC

Kwa wachezaji wa kibongo ninavyowajua hyo Dogo wakimuongezea mkataba na marupurupu kibao atabweteka na kujiona kafika....

Km unakumbuka kichuya alivyokuja simba alikuwa na moto wa hatari, walivyo mboreshea mkataba tu! Akaanza kuzingua
Na sasa hajulikani hata yuko wapi eti mtu anacheza professional misr akirudi nyumbani anacheza ndondo sabasaba
 
Mwanzoni Simba ilikuwa inacheza pasi fupifupi na taratibu baada ya ujio wa Patrick aussems Simba inacheza pasi za haraka na counter attack.

Lakini pia kitendo chake cha kuwapa nafasi karibia wachezaji wake wote kwenye kikosi chake kwa lugha nyingine anafanya rotation makocha wachache Sana wanafanya hiv. Ila kwenye CAF champion league ameangushwa na usajili wa miemuko wa viongozi wa Simba.

Hivi inaingia akili kwel unamsajili Deo Kanda mcheza na jukwaa unamuuacha Okwi mzee wa kazi,unamuuacha Haruna Niyonzima unamsajili Shubob wakati kulikuwa hakuna ulazima wakufanya hivo,wale wabrazili ndo takataka kabisa hata sitaki kuwazungumzia unaona kazi anayofanya Kenneth Juma anajua kutumia urefu wake vizuri anawin mipira yote ya juu tumeona kwenye mech ya Jana kiasi ambacho Wawa akawa kama yupo likizo lakini Lile librazili Gerson ni mrefu lakini hajui kutumia urefu wake lakini mara nyingi anakuwa out of position.

Unaenda kumsajili kiungo wa kibrazili ambaye hata robo ya uwezo wa Kotei hana hii ni akili au matope.

NB: next time uongozi wa Simba msifanye usajili wa miemuko ili mumsaidie Patrick Aussems kufanya kazi yake kwa ufanisi.
Wewe kweli mzima Shibu mchezaji mzuri kushinda wote hao kina mkude na nyonzima
 
Jamaa hajui mpira, Fraga anakaba sana na hana madoido anacheza mpira wa kufundishwa, wengi hawalielewi hilo. Anajua ni kwanini kocha anampanga sana kwa sasa.
Mumpange 4 January 2020 kama hamjavunja viti
 
Yani yule Gerson Fraga hajafikia uwezo wa Said Hamis Ndemla
 
Hahaa nadhani hili ni jibu sahihi kabsa

5imba wanajipima uwezo na Vilaza halaf wakikutana na team ya kawaida kama UD SONGO wanapigwaa

endeleeni kusubiri msimu ujao
Simba walipigwa lini na UD songo...simba wametolewa kwa kanuni hawajatolewa kwa kufungwa
 
Hapo umekwepa swali.Kama kocha ni huyuhuyu na simba ya msimu uliopita ilikuwa bora kuliko hii basi msingefungwa zaidi ya magoli 10.Kocha naye anaudhaifu kwa sababu simba sio nzuri kwenye beki ikikutana na safu imara ya ushambuliaji.Kocha muda wote anafunguka,haeshimu wapinzani mwisho wa siku mechi 3 magoli 15+
Simba ilifungwa goli tano tano sababu ilikutana na timu bora africa....ni mjinga tu ambae anaweza shangaa simba kufungwa idadi iyo kubwa ya magoli katika hatua iliyokuwa imefikia kwa kucheza na timu bora...kwenye kundi lake simba ndo ambayo iliongoza kwa kufungwa magoli mengi,vipi hao waliofungwa goli chache walienda wapi,kufungwa kwao goli chache kuliwasaidia nini
 
Wenzio mliokuwa nao walifungwa magoli 10+?
Ni sawa na mwanachuo aliemaliza degree ya kwanza kwa kupata sup 7 na carry 2 GPA 1.8.
Kama hawakufungwa magoli 10+ kama simba mbona hawakuenda atua inayofuata...kwa iyo mku akili zako zinakuambia kabisa mwanachuo aliyedisco bila kupata sup nyingi ni bora kuliko aliye graduate kwa kupata sup nyingi???
 
Sikubaliani anafungika vzr na hata sare anaweza kupata
Ifungwe na timu gani??nitajie timu unayoiona yenye ubora kuliko simba kwenye ligi kuu yenye uhakika wa kumfunga simba.
Kufungwa inaweza fungwa na timu yoyote kitu ambacho ni kawaida katika mpira,mwaka jana simba imefungwa na kagera na mbao timu ambazo zilikuwa zinakwepa kushuka daraja na nyingine ilicheza mpaka playoff kabisa...so kufungwa inaweza kufungwa na timu yoyote tu na nimatokeo ya kimkchezo...hata barcelona leo hii ukija kumleta kwenye ligi ya bongo atachukua ubingwa lakini cha kushangaza utashangaa anazifunga timu zote kubwa wakina simba na yanga lakini ataenda kufunga na katimu kadogo ka mwadui huko
 
Ulichoongea ni ushabiki wa kijinga tutaona hao wabrazili Kama watadumu hapo Simba zaidi ya mwaka mmoja
Wale wabrazil kiukweli hawana kitu cha ziada.kama yule fraga anatumia nguvu sana kukaba halafu anabutua tu...anamakosa katika kutoa pasi....so far usajili huu simba wamefail kwa fraga na shamte..
 
Ukweli mchungu ni kuwa kwa Fraga pale Simba kala za uso. Nimemuona kwenye mechi tatu jamaa hana cha ziada kuwazidi Mkude na Ndemla pamoja na mapungufu yao. Na kwa Mzamiru gari lilivyowaka sasa hivi ndio haingii kabisa. Tuncholalamika hapa ni kuwa haiwezekani umtoe mchezaji mbali huku Brazil umlete kwenye timu yako halafu timu hiyo hiyo ina wabongo watatu wote wanacheza naye namba moja na wamemzidi. Mechi tu ya juzi na Kagera mpira ulikuwa unamgongagonga. Kagera Sugar walikamia sana kiasi walikosa tu utulivu wa namna ya kusoma mchezo vinginevyo pale kwa Fraga ilikuwa ni barabara nzuri ya kupita kwenda kumsalimia Manuala.
 
Hao sasa wabongo kuongea kwa hisia bila statistics.
Siwezi kukulaumu ila Azam ndo wa kulaumiwa ambao hawatuoneshi statistics za kila mchezaji
 
Mleta mpuuzi tu,anasema Simba tumewaacha Niyo na Okwi kama vile alihudhuria kikao cha kushindwana. Mkataba ni pande mbili sasa iweje unaposhindikana unalaumu upande mmoja bila kujua sababu.

Wewe nani alikuambia Okwi alitaka kubaki?
 
Simba sio timu nzuri, bali ligi kuu imejaa timu mbovu , ndio maana walivyocheza na vibonde UD SONGO akina Kagere, Chama, Shibob hawakuonekana kabisa, ligi ya tanzania inatakiwa iwe na timu tano tu
Hizo timu 5 zitoke China au Katavi?
 
Hahaa nadhani hili ni jibu sahihi kabsa
5imba wanajipima uwezo na Vilaza halaf wakikutana na team ya kawaida kama UD SONGO wanapigwaa
endeleeni kusubiri msimu ujao
Kumbe timu nzuri haifungwi..?
Pepo la kujifunga likituke kwa jina la Makame
 
Wenzio mliokuwa nao walifungwa magoli 10+?
Ni sawa na mwanachuo aliemaliza degree ya kwanza kwa kupata sup 7 na carry 2 GPA 1.8.
Vita alikuwa kundi moja na Simba.. Pamoja na kushinda 5 hakuvuka makundi.

M
 
Hapo umekwepa swali.Kama kocha ni huyuhuyu na simba ya msimu uliopita ilikuwa bora kuliko hii basi msingefungwa zaidi ya magoli 10.Kocha naye anaudhaifu kwa sababu simba sio nzuri kwenye beki ikikutana na safu imara ya ushambuliaji.Kocha muda wote anafunguka,haeshimu wapinzani mwisho wa siku mechi 3 magoli 15+
Taja hizo mechi 3 wakafungwa Magoli 15?
 
Back
Top Bottom