Patrick Ngowi yupo quite different na vijana wengine wa umri wake

Tofautisha kati ya wafanyabiashara halali kwa upande mmoja na wasanii wakiwa na wauza unga kwa upande mwingine! Wasanii na wauza unga popote pale duniani ni watu wa vurugu kwavile jinsi wanavyopata pata pesa zao mara zote ni kama vile God isn't fair!
 
Mimi nina maoni tofauti kidogo kuhusu Ngowi. Kiukweli mafanikio ya huyu kijana yaliyotangazwa kwangu mimi yameniibulia maswali yenye utata. Kwanza nianze na hiyo kampuni yake ya Helvetica Solar ambayo inatajwa kama kampuni kubwa ya Solar Tanzania.. swali ni je kampuni kubwa kama yake inakuwaje hata ofisi hazijulikani zilipo? Kina Rex solar na wengineo wako wazi kariakoo na maeneo mengine nchini... vp kuhusu Helvetica?
Pia kiasi cha utajiri kilichotajwa kupatikana na kwa muda uliotajwa na kwa biashara hiyo ni kama miujiza kwa kijana anaeanza kutafuta pesa. Inspiration ya Ngowi imekosa uhalisia kuweza kuhamasisha vijana wengine. Inakatisha tamaa zaidi maana imejaa miujiza.
 

usipost bila kufanya uchunguzi, hata kugoogle

Africa's Clean Energy Investment Company – Contact Us
 
Mkuu huyo jamaa yeye ajawekeza hapa nchini nenda Nigeria Swaziland nchi nyingi tu amewekeza kama ww mtadhamaji mzuri wa TV Nigeria uwezi kukosa matangazo yake
 
usipost bila kufanya uchunguzi, hata kugoogle

Africa's Clean Energy Investment Company – Contact Us
Kwahiyo hii website ndo imejibu hoja ya diranqhe??!!

Anyway, diranghe... maelezo yako yana mantiki sana ukizingatia open establishment ya kibiashara ya Ngowi... ni doubtful. Hata hivyo, kinachomsaidia inawezekana jamaa ana connection... unajua tena Wachaga! Yaani ni sawa sawa na wewe leo hii uwe na mtaji wa Sh. 100M uanze biashara ya catering lakini unategemea walaji wa kawaida... stiffly competing with other catering service provider! Kwa upande mwingine anatokea mtoto wa Ndalichako na mtaji wake wa 10 Million na yeye kutokana na kuwa na connection anapata tenda ya kulisha mashule yooooooote ya serikali!!!!!

Sidhani kama kuna sababu ya kupig mahesabu na hiyo 100M yako atakuacha baada ya wiki ngapi!!

Sasa ni very possibly huyu jamaa alikuwa na tenda za staili hiyo to the point, connection zikikatika (God Forbid) huenda akayumba sana kwa sababu sidhani kama ana ubavu wa kushindana na watu kama Rex Solar kwenye competitive market!

Anaweza kuwa na pesa kuliko Rex lakini watu kama Rex wanaifahamu sana hii biashara kuliko Ngowi!!
 
Yuko wapi sasa hivi? Mara ya mwisho nimeona picha yake kwenye tangazo gazetini.
 
Personally sioni mantiki ya kuwa na ela halafu uishi kimasikini maisha ya kawaida sawa na mwenye ela kiasi.
Sasa hapo kuwa na pesa na hustles zina maana gani.
I hustle hard to live large....
Siwezi kuwa na bils benki nkaendesha ist never...
 
Huyo nae aache ubahili wa kichaga amuige mengi, kaamua kung'oa dogodogo sasa hivi kila weekend wanabadili islands kula bata, k lyne amefunguliwa boonge la duka Dubai, maisha yenyewe mafupi haya!
 
Angalia Mark Zurkerbeg (sijui kama inaandikwa hivi) anaishi kawaida sana BTW kila mtu ana ugonjwa wake unaeza kuta huyo jamaa yako ni mzinzi wa kutupwa sema kwa siri kubwa sana...
Haishi maisha simple sema unamuona simple kwakuwa hajui kuvaa ndiyo maana ana tshirt na jeans na viatu vinafanana.
Ulinzi wake tu mwaka jana umemcost 4.3 mil usd.
Anamiliki private jet na saa nyingine haitumii anakodi ndege ya peke yake.
Anamilikk yatch ya maana.
He is not living a simple life ila sema tu mwili wake na kuwa shaby kunamfanya watu wamuone anaishi simple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…