Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bongo muvi kuna papuchi nzuri? asee huon aibu bora hata MWAJUMA Msasambuaji mzuriHaya na we endelea kutumia kwa kujibana kisa mipango uone mwisho wake...utakufa hata papuchi nzuri hujanusa...
Maisha ni kuridhika....Tumia pesa ikuzoee....km unaishi km maskini wakati una hela nn sasa faida ya kuwa na hela....na wote tukiwa bahiri hawa vicheche wa bongo wataishije mjini!!
Mimi nina maoni tofauti kidogo kuhusu Ngowi. Kiukweli mafanikio ya huyu kijana yaliyotangazwa kwangu mimi yameniibulia maswali yenye utata. Kwanza nianze na hiyo kampuni yake ya Helvetica Solar ambayo inatajwa kama kampuni kubwa ya Solar Tanzania.. swali ni je kampuni kubwa kama yake inakuwaje hata ofisi hazijulikani zilipo? Kina Rex solar na wengineo wako wazi kariakoo na maeneo mengine nchini... vp kuhusu Helvetica?
Pia kiasi cha utajiri kilichotajwa kupatikana na kwa muda uliotajwa na kwa biashara hiyo ni kama miujiza kwa kijana anaeanza kutafuta pesa. Inspiration ya Ngowi imekosa uhalisia kuweza kuhamasisha vijana wengine. Inakatisha tamaa zaidi maana imejaa miujiza.
Anitafuta* anatafuta mkuuPesa yake anitafuta kwa jasho
usipost bila kufanya uchunguzi, hata kugoogle
Africa's Clean Energy Investment Company – Contact Us
Mkuu huyo jamaa yeye ajawekeza hapa nchini nenda Nigeria Swaziland nchi nyingi tu amewekeza kama ww mtadhamaji mzuri wa TV Nigeria uwezi kukosa matangazo yakeMimi nina maoni tofauti kidogo kuhusu Ngowi. Kiukweli mafanikio ya huyu kijana yaliyotangazwa kwangu mimi yameniibulia maswali yenye utata. Kwanza nianze na hiyo kampuni yake ya Helvetica Solar ambayo inatajwa kama kampuni kubwa ya Solar Tanzania.. swali ni je kampuni kubwa kama yake inakuwaje hata ofisi hazijulikani zilipo? Kina Rex solar na wengineo wako wazi kariakoo na maeneo mengine nchini... vp kuhusu Helvetica?
Pia kiasi cha utajiri kilichotajwa kupatikana na kwa muda uliotajwa na kwa biashara hiyo ni kama miujiza kwa kijana anaeanza kutafuta pesa. Inspiration ya Ngowi imekosa uhalisia kuweza kuhamasisha vijana wengine. Inakatisha tamaa zaidi maana imejaa miujiza.
PESA destination yake ni kwa WACHAGGA . ..kwingine kote inakuwa on transit . ..TRUST ME ON THIS ONE .Huyo ni mchaga bwana hawezi fanya matanuzi ya kipumbavu.
we sema ofisi zao ziko wapi google kumejaa makampuni hewa kibaousipost bila kufanya uchunguzi, hata kugoogle
Africa's Clean Energy Investment Company – Contact Us
Kwahiyo hii website ndo imejibu hoja ya diranqhe??!!usipost bila kufanya uchunguzi, hata kugoogle
Africa's Clean Energy Investment Company – Contact Us
Haishi maisha simple sema unamuona simple kwakuwa hajui kuvaa ndiyo maana ana tshirt na jeans na viatu vinafanana.Angalia Mark Zurkerbeg (sijui kama inaandikwa hivi) anaishi kawaida sana BTW kila mtu ana ugonjwa wake unaeza kuta huyo jamaa yako ni mzinzi wa kutupwa sema kwa siri kubwa sana...