Patrick Ngowi yupo quite different na vijana wengine wa umri wake

Hivi Kashamiliza Deni analodaiwa na STANBIC? Alianza Kuuza Vifaa Vya Simu kutoka China miaka ya Nyuma...#Bwimbi_Supllier
 
Huyo nae aache ubahili wa kichaga amuige mengi, kaamua kung'oa dogodogo sasa hivi kila weekend wanabadili islands kula bata, k lyne amefunguliwa boonge la duka Dubai, maisha yenyewe mafupi haya!

Mengi ana asset base kubwa kuliko Patrick ngowi, na pia ngowi hawez afford expenditure za mengi so ni bora akae kwenye his lane mpaka pale atapofikia levels anazotaka kayaman
 
Rex?

Rex na helvetic wapi na wapi?

Nyie mnaoulizia ofisi si zinapatikana Njiro complex? Na mimi mwenyewe nimesha waelekeza Wazungu wenye ma hotel porini na wamefanya kazi na Helvetic solar contractor.
So jambo usilolijua ?,,,,,,,,,,
 
Mbona ana kazi nyingi tu Pangeni, Zanzibar,Kigamboni.
Na soon Simiyu
 
Mwenye Rex solar ni jamaa moja mpare anaitwa somebody Meleku
Na ofisi zao nao zipo Mianzini kama unaingia kwa Dr Wanjara.

Helvetic
Njiro complex

So wote hawa wanafahamika ila Meleku si Kama Patrick .
 
Rex?

Rex na helvetic wapi na wapi?

Nyie mnaoulizia ofisi si zinapatikana Njiro complex? Na mimi mwenyewe nimesha waelekeza Wazungu wenye ma hotel porini na wamefanya kazi na Helvetic solar contractor.
So jambo usilolijua ?,,,,,,,,,,
Wapi nimeulizia ofisi?! Ina maana connection = kuulizia office?! Look, na wewe mwenyewe ukawaelekeza wazungu.... sasa unadhani connection maana yake nini?!
 
Personally sioni mantiki ya kuwa na ela halafu uishi kimasikini maisha ya kawaida sawa na mwenye ela kiasi.
Sasa hapo kuwa na pesa na hustles zina maana gani.
I hustle hard to live large....
Siwezi kuwa na bils benki nkaendesha ist never...
Na bora pesa yenyewe nisiwe nayo!!! Watu huwa wanasahau kwamba duniani tunapita... sasa unazibania bania utadhani una miaka 500 ya kuishi hapa duniani au ukifa utaenda nazo!!!!
 
Hii post niliaza kuisoma kwa chini... sa' si ndo nikadhani unamwelezea Ngowi.....
 
Mkuu chige nakushukuru kwa kuiona hoja yangu. Hapo kwamba jamaa ana connection huenda ndo siri ya mafanikio yake. Ila hii kusema jamaa kahangaika sana hadi kufika alipofika kimiujizaujiza ni kukatisha tamaa vijana.
 
Hivi ukitumia lugha mbili ndo tutajua una elimu au ? Acheni ushamba basi nyie watupori ushaona wapi lugha moja haijitoshelezi hadi kutumia kiingereza na kiswahili ????
 
Hongera Sana Patrick Ngowi kwa kuwaonyesha fursa vijana kupitia "Kamata Fursa Twenzetu" ya Clouds hakika umewahamasisha vijana kukamata fursa.
 


We msifiie jamaa ni mtafutaje...hizi chumvi ziache
 


Alikua anamzungumzia [HASHTAG]#MarkZ[/HASHTAG] wa Facebook .....his appearance (mavazi)
 
Inaumiza ukisoama sifa alizopewa humu,halafu hao jamaa Wafiniland wanasema Ngowi amewatapeli €84(Milioni)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…