ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kumbe jamaa hana jiwe msanii msanii tu kama wabongo wengine.Patrick Ngowi yuko simple sana Yani hana mbwembwe kama hawa wasanii uchwara Mchaga anayejitambua
Mkuu uliona mbali sana maana ulihojiMimi nina maoni tofauti kidogo kuhusu Ngowi. Kiukweli mafanikio ya huyu kijana yaliyotangazwa kwangu mimi yameniibulia maswali yenye utata. Kwanza nianze na hiyo kampuni yake ya Helvetica Solar ambayo inatajwa kama kampuni kubwa ya Solar Tanzania.. swali ni je kampuni kubwa kama yake inakuwaje hata ofisi hazijulikani zilipo? Kina Rex solar na wengineo wako wazi kariakoo na maeneo mengine nchini... vp kuhusu Helvetica?
Pia kiasi cha utajiri kilichotajwa kupatikana na kwa muda uliotajwa na kwa biashara hiyo ni kama miujiza kwa kijana anaeanza kutafuta pesa. Inspiration ya Ngowi imekosa uhalisia kuweza kuhamasisha vijana wengine. Inakatisha tamaa zaidi maana imejaa miujiza.
Penda kusoma vema kijana. Usiandike kuonekana nawe umechangia. Hii thread ya kitambo na unayemjibu alikua anamuelezea mmiliki wa Facebook.Acha fixi mangiii. watu wanaown private Jet Tanzania ni watu watatu tu...sema suu niweke ownership licenses zao za TCAA hapa. na iweje ulinzi wake uwe 4.5 Million USD mwaka jana wakati networrth yake ni 1 Million Dollar according to Forbes (Billion 2 na usheee)
We msifiie jamaa ni mtafutaje...hizi chumvi ziache
dah me pia bro ndo mana nkashangaa kinomaHii post niliaza kuisoma kwa chini... sa' si ndo nikadhani unamwelezea Ngowi.....
Penda kusoma vema kijana. Usiandike kuonekana nawe umechangia. Hii thread ya kitambo na unayemjibu alikua anamuelezea mmiliki wa Facebook.
You are a gentleman. Mwingine angetukana mitusi. Ingekua waafrika wote tunakua na tamaduni ya kukubali kukosolewa au kusahihishwa tunapokosea tungekua mbali.Sawa Ngowi..nisamehe bwana..heshima zako mkuuu sikuelewa alichoandika nikapanic bro
Deni amemaliza lakini kujifanya tajiri huku mdaiwa sugu na mabenki na huku tapeli la kimataifaWe msifiie jamaa ni mtafutaje...hizi chumvi ziache
Pesa ni pesa cha msinhi kuipata kama umeitafuta either kwa jasho au kwa njia za mkato kunjua roho kama Floyd Mayweather sababu we only live once yani niwe na mapesa kibao nijibane jibane hata kununua rolex,weekend nirefresh my mind na teachers wakati kuna hennessy.WHY DON'T YOU?Na bora pesa yenyewe nisiwe nayo!!! Watu huwa wanasahau kwamba duniani tunapita... sasa unazibania bania utadhani una miaka 500 ya kuishi hapa duniani au ukifa utaenda nazo!!!!
We only live once and short na mtu anaweza kukatika dakika yoyote even at a time s/he felt safer and healthier!Pesa ni pesa cha msinhi kuipata kama umeitafuta either kwa jasho au kwa njia za mkato kunjua roho kama Floyd Mayweather sababu we only live once yani niwe na mapesa kibao nijibane jibane hata kununua rolex,weekend nirefresh my mind na teachers wakati kuna hennessy.WHY DON'T YOU?