Patrick Ngowi yupo quite different na vijana wengine wa umri wake

Patrick Ngowi yupo quite different na vijana wengine wa umri wake

Mimi nina maoni tofauti kidogo kuhusu Ngowi. Kiukweli mafanikio ya huyu kijana yaliyotangazwa kwangu mimi yameniibulia maswali yenye utata. Kwanza nianze na hiyo kampuni yake ya Helvetica Solar ambayo inatajwa kama kampuni kubwa ya Solar Tanzania.. swali ni je kampuni kubwa kama yake inakuwaje hata ofisi hazijulikani zilipo? Kina Rex solar na wengineo wako wazi kariakoo na maeneo mengine nchini... vp kuhusu Helvetica?
Pia kiasi cha utajiri kilichotajwa kupatikana na kwa muda uliotajwa na kwa biashara hiyo ni kama miujiza kwa kijana anaeanza kutafuta pesa. Inspiration ya Ngowi imekosa uhalisia kuweza kuhamasisha vijana wengine. Inakatisha tamaa zaidi maana imejaa miujiza.
Mkuu uliona mbali sana maana ulihoji
full sanaa.
 
Acha fixi mangiii. watu wanaown private Jet Tanzania ni watu watatu tu...sema suu niweke ownership licenses zao za TCAA hapa. na iweje ulinzi wake uwe 4.5 Million USD mwaka jana wakati networrth yake ni 1 Million Dollar according to Forbes (Billion 2 na usheee)
We msifiie jamaa ni mtafutaje...hizi chumvi ziache
Penda kusoma vema kijana. Usiandike kuonekana nawe umechangia. Hii thread ya kitambo na unayemjibu alikua anamuelezea mmiliki wa Facebook.
 
Sawa Ngowi..nisamehe bwana..heshima zako mkuuu sikuelewa alichoandika nikapanic bro
Penda kusoma vema kijana. Usiandike kuonekana nawe umechangia. Hii thread ya kitambo na unayemjibu alikua anamuelezea mmiliki wa Facebook.
 
Na bora pesa yenyewe nisiwe nayo!!! Watu huwa wanasahau kwamba duniani tunapita... sasa unazibania bania utadhani una miaka 500 ya kuishi hapa duniani au ukifa utaenda nazo!!!!
Pesa ni pesa cha msinhi kuipata kama umeitafuta either kwa jasho au kwa njia za mkato kunjua roho kama Floyd Mayweather sababu we only live once yani niwe na mapesa kibao nijibane jibane hata kununua rolex,weekend nirefresh my mind na teachers wakati kuna hennessy.WHY DON'T YOU?
 
We only live once and short na mtu anaweza kukatika dakika yoyote even at a time s/he felt safer and healthier!
 
Back
Top Bottom