Patrick Nyembera unakerwa na elimu kuhusu ndondi aliyo nayo Aidan Mlimila?

Patrick Nyembera unakerwa na elimu kuhusu ndondi aliyo nayo Aidan Mlimila?

Wote walikuwa kuwa wana masumbwi ua waliwahi kupigana ulingoni? Au waliwahi kufundisha ngumi? Ni Bongo tu ndiyo unakuta muuza samaki mstaafu amegeuka kuwa mtaalam na mchambuzi wa ngumi au kandanda kwenye TV
Ukivua samaki huwezi kuwa mtaalamu wa jit kan do au wushu?
 
Kama hukupitia huko huwezi kuwa mchambuzi na mtaalam mzuri. Utakuwa unaunga- unga tu. Hivi TV kama kina Sky Sports au TNT Sports unadhani ni wajinga kuingia gharama ya kulipa wachezaji au makocha kuchambua mechi?
Molimoli tutafika.Ila siyo ghafla tu.
 
Mbona ni kama amemsifia?. Ukiona unaitwa google Ina maana unaheshimika kwenye angle Fulani, Yani Kuna information ambazo unazo ambazo wengine hawana.
 
Back
Top Bottom