Patriot kuendelea kufanya kazi Ukraine! Kinzhal yatiliwa mashaka u-hypersonic wake

Patriot kuendelea kufanya kazi Ukraine! Kinzhal yatiliwa mashaka u-hypersonic wake

Nje ya mada; Hivi Marekani na washirika wake kwa kipindi cha mwaka na zaidi wameshindwa kabisa kumfurusha mrusi kutoka Ukraine??

Hii inaonesha eitha Mrusi ni imara sana ukilinganisha na hao NATO, au hao akina Marekani ni dhaifu mno ukilinganisha na udhaifu tunaoaminishwa kwamba mrusi anao.
Hii ni vita ya Urusi na Ukraine, sio na Marekani au hata NATO.
 
Mfumo wa mwaka 1990 imedungua hyped hypersonic ya 2018
 
Nje ya mada; Hivi Marekani na washirika wake kwa kipindi cha mwaka na zaidi wameshindwa kabisa kumfurusha mrusi kutoka Ukraine??

Hii inaonesha eitha Mrusi ni imara sana ukilinganisha na hao NATO, au hao akina Marekani ni dhaifu mno ukilinganisha na udhaifu tunaoaminishwa kwamba mrusi anao.

Siku Marekani wakiingia watafumua hadi mjii mkuu wa Urusi..... huyu Urusi ambaye amelizwa na kainchi kadogo hapo jirani.
 
Umewahi kujiukiza mbona Rais Zelensky hataki kurudi nyumbani anazunguka zunguka huko Ulaya. Hii sio ishara nzuri kwa Kiev. Nilisema na narudia kusema vita imekwisha baada ya mzigo wa wiki iyopita kupelekea Patriot kuharibiwa tena kwa makombora madogo subsonic.

Na Zelensky akiendelea kukaa nje ya nchi kutafanyika mapinduzi nchini mwake. Wiki ijayoBakhumurt inatangazwa Rasmi kuwa Urusi bado majengo 14 tu kumaliza operation. Na hii ndio itaondoa morale ya wanajeshi na kutaka mapinduzi... wait amd see
Jana niliwaambia na leo imekuwa

Soma hapa 14 buildings cleared sasa ni dhahiri the raod to Kiev

Siku Marekani wakiingia watafumua hadi mjii mkuu wa Urusi..... huyu Urusi ambaye amelizwa na kainchi kadogo hapo jirani.
the great russia iz not kunyaland ...
russia iz another lever.....budha
 
E
Baada ya tathmini ya mashambulizi makubwa zaidi ya makombora tangu vita ianze juzi nchini Ukraine, msemaji wa jeshi la anga la Ukraine anasema Patriot zizotumika katika pambano hilo dhidi ya makombora kama Kinzhal zimethibitika kuendelea kufanya kazi vizuri na hivyo WaUkraine wasiwe na hofu yoyote kuhusu mfumo huo.

Kwa uelewa kifupi; Patriot ni mfumo wa ulinzi wa anga wenye sehemu mbalimbali na kila sehemu inawekwa umbali kadhaa na sehemu nyingine. Radar inakuwa sehemu tofauti, launchers hadi 7 na interceptors kwingine sehemu mbalimbali, antenna kwingine na kituo cha control kwingine.

Huyu mfumo wote na chanzo chake cha nishati au generator ambao unaweza kupangiliwa katika eneo la zaidi ya nusu kilometa ndio unaitwa Patriot, hivyo ukisema Patriot imeunguzwa au imetunguliwa huku unaonyesha kipande cha clip cha sehemu moja tu ikiwaka moto unaonekana kilaza au boksi tupu kichwani usiyejua unachosema.

Katika taarifa nyingine Mtaalamu mmojawapo wa masuala ya kijeshi wa Uingereza anasema mfumo wa Patriot unaweza kuharibiwa wote endapo tu utafanyiwa mashumbulizi wote kwa usahihi mkubwa sana kwa pamoja na kwa makombora mengi sana.

Kwa upande mwingine mtaalamu huyo anasema hata hivyo Kinzhal za Urusi zinazoendelea kutunguliwa na Patriot nchini Ukraine sio hypersonic halisi bali ni makombora ya ballistics tu waliyoyaboresha kidogo kuyazidi mengine!
Endelea tu kujitekenya na kucheka mwenyewe!!

Key Donbass city fully liberated – Moscow​

Artyomovsk, also known as Bakhmut, has been captured, the Russian Defense Ministry confirmed
Key Donbass city fully liberated – Moscow

Fighters from the Wagner PMC in Artyomovsk, Russia, May 19, 2023. © Sputnik
The Russian troops have completely liberated the strategic Donbass city of Artyomovsk, the scene of a grueling battle for many months, the Russian Defense Ministry confirmed in the early hours of Sunday.
The operation in the city known to Ukrainians as Bakhmut was executed by the “offensive actions” of the private military company Wagner Group with artillery and air support from regular Russian forces, the MOD said.
The statement from the MOD came hours after Wagner chief Evgeny Prigozhin announced on social media that his fighters had taken complete control of the city.
 
Wakati nyie waUkraine wa Usoke, Tabora, mkiendelea kujitahidi kuficha ukweli kuwa Patriot iliharibiwa na Urusi...Urusi yenyewe yaendelea kuteka miji ya Ukraine

Baada ya tathmini ya mashambulizi makubwa zaidi ya makombora tangu vita ianze juzi nchini Ukraine, msemaji wa jeshi la anga la Ukraine anasema Patriot zizotumika katika pambano hilo dhidi ya makombora kama Kinzhal zimethibitika kuendelea kufanya kazi vizuri na hivyo WaUkraine wasiwe na hofu yoyote kuhusu mfumo huo.

Kwa uelewa kifupi; Patriot ni mfumo wa ulinzi wa anga wenye sehemu mbalimbali na kila sehemu inawekwa umbali kadhaa na sehemu nyingine. Radar inakuwa sehemu tofauti, launchers hadi 7 na interceptors kwingine sehemu mbalimbali, antenna kwingine na kituo cha control kwingine.

Huyu mfumo wote na chanzo chake cha nishati au generator ambao unaweza kupangiliwa katika eneo la zaidi ya nusu kilometa ndio unaitwa Patriot, hivyo ukisema Patriot imeunguzwa au imetunguliwa huku unaonyesha kipande cha clip cha sehemu moja tu ikiwaka moto unaonekana kilaza au boksi tupu kichwani usiyejua unachosema.

Katika taarifa nyingine Mtaalamu mmojawapo wa masuala ya kijeshi wa Uingereza anasema mfumo wa Patriot unaweza kuharibiwa wote endapo tu utafanyiwa mashumbulizi wote kwa usahihi mkubwa sana kwa pamoja na kwa makombora mengi sana.

Kwa upande mwingine mtaalamu huyo anasema hata hivyo Kinzhal za Urusi zinazoendelea kutunguliwa na Patriot nchini Ukraine sio hypersonic halisi bali ni makombora ya ballistics tu waliyoyaboresha kidogo kuyazidi mengine!
Kwanza kabisa kwa haya maelezo inaonyesha wewe ndo kilaza, samahani kwa hili. Unaelewa nini kitu kinapoitwa mfumo? Si maana yake parts zinafanya kazi kwa kutegemeana? Em niambie ni namna gani utashambulia let say radar au launchìng platform bado patriot itaendelea kufanya kazi. Ila pia unaposema Kinzhal inatiliwa shaka u hypersonic wake kisa kutunguliwa na patriot ni ukilaza wa hali ya juu sana kuwahi kutokea kwenye jukwaa hili la kimataifa. Kwani u hypersonic ni kitu gani hasa kwenye hii siraha?
 
Wamepigwa vibaya sana
Nawaonea huruma Taiwan maana Wamenunua Mzigo wa Kutosha halafu unabutuliwa kirahisi kweli . Mfumo unadanganya na Drones ukijitokeza tu Unakutana kitu cha hatari Game is over. Kwa ufupi USA. Imepatwa na mashaka makubwa sana baada kugundua wapo Uchi kabisa .
Wahandisi Warudi kazini tena .Maana Kivu inapigwa hatari tokea Mfumo kuharibiwa huu muda unatafutwa huo mwingine umefichwa wapi wauchakaze tena.
Maskini Ukrine ndiyo mara yangu ya kuona Mzungu kakosa chakula na pakulala.
Mahaba haya mtoto wa kiume duuh, siku hizi hakuna wanaume jamani, Russia ndo wameumbuliwa na kuachwa uchi kinzhal siyo tena hypersonic ukweli umewekwa wazi!!
 
Back
Top Bottom