Hii ni vita ya Urusi na Ukraine, sio na Marekani au hata NATO.Nje ya mada; Hivi Marekani na washirika wake kwa kipindi cha mwaka na zaidi wameshindwa kabisa kumfurusha mrusi kutoka Ukraine??
Hii inaonesha eitha Mrusi ni imara sana ukilinganisha na hao NATO, au hao akina Marekani ni dhaifu mno ukilinganisha na udhaifu tunaoaminishwa kwamba mrusi anao.
Na US hatakaa akubali kwamba patriotic imebunguliwa so ngoma droo kila mtu ashinde mechi zake 😆😆😆Warusi hawatakaa wakubali Kinzhal zao zimeweza kutunguliwa jinsi walivyokuwa wanaziamini.
Kunradhi Kwa kukengeuka,mie Bado mtiifu Kwa Putin.View attachment 2627531
Nje ya mada; Hivi Marekani na washirika wake kwa kipindi cha mwaka na zaidi wameshindwa kabisa kumfurusha mrusi kutoka Ukraine??
Hii inaonesha eitha Mrusi ni imara sana ukilinganisha na hao NATO, au hao akina Marekani ni dhaifu mno ukilinganisha na udhaifu tunaoaminishwa kwamba mrusi anao.
Jana niliwaambia na leo imekuwaUmewahi kujiukiza mbona Rais Zelensky hataki kurudi nyumbani anazunguka zunguka huko Ulaya. Hii sio ishara nzuri kwa Kiev. Nilisema na narudia kusema vita imekwisha baada ya mzigo wa wiki iyopita kupelekea Patriot kuharibiwa tena kwa makombora madogo subsonic.
Na Zelensky akiendelea kukaa nje ya nchi kutafanyika mapinduzi nchini mwake. Wiki ijayoBakhumurt inatangazwa Rasmi kuwa Urusi bado majengo 14 tu kumaliza operation. Na hii ndio itaondoa morale ya wanajeshi na kutaka mapinduzi... wait amd see
the great russia iz not kunyaland ...Siku Marekani wakiingia watafumua hadi mjii mkuu wa Urusi..... huyu Urusi ambaye amelizwa na kainchi kadogo hapo jirani.
Endelea tu kujitekenya na kucheka mwenyewe!!Baada ya tathmini ya mashambulizi makubwa zaidi ya makombora tangu vita ianze juzi nchini Ukraine, msemaji wa jeshi la anga la Ukraine anasema Patriot zizotumika katika pambano hilo dhidi ya makombora kama Kinzhal zimethibitika kuendelea kufanya kazi vizuri na hivyo WaUkraine wasiwe na hofu yoyote kuhusu mfumo huo.
Kwa uelewa kifupi; Patriot ni mfumo wa ulinzi wa anga wenye sehemu mbalimbali na kila sehemu inawekwa umbali kadhaa na sehemu nyingine. Radar inakuwa sehemu tofauti, launchers hadi 7 na interceptors kwingine sehemu mbalimbali, antenna kwingine na kituo cha control kwingine.
Huyu mfumo wote na chanzo chake cha nishati au generator ambao unaweza kupangiliwa katika eneo la zaidi ya nusu kilometa ndio unaitwa Patriot, hivyo ukisema Patriot imeunguzwa au imetunguliwa huku unaonyesha kipande cha clip cha sehemu moja tu ikiwaka moto unaonekana kilaza au boksi tupu kichwani usiyejua unachosema.
Katika taarifa nyingine Mtaalamu mmojawapo wa masuala ya kijeshi wa Uingereza anasema mfumo wa Patriot unaweza kuharibiwa wote endapo tu utafanyiwa mashumbulizi wote kwa usahihi mkubwa sana kwa pamoja na kwa makombora mengi sana.
Kwa upande mwingine mtaalamu huyo anasema hata hivyo Kinzhal za Urusi zinazoendelea kutunguliwa na Patriot nchini Ukraine sio hypersonic halisi bali ni makombora ya ballistics tu waliyoyaboresha kidogo kuyazidi mengine!
the great russia iz not kunyaland ...
russia iz another lever.....budha
Kwanza kabisa kwa haya maelezo inaonyesha wewe ndo kilaza, samahani kwa hili. Unaelewa nini kitu kinapoitwa mfumo? Si maana yake parts zinafanya kazi kwa kutegemeana? Em niambie ni namna gani utashambulia let say radar au launchìng platform bado patriot itaendelea kufanya kazi. Ila pia unaposema Kinzhal inatiliwa shaka u hypersonic wake kisa kutunguliwa na patriot ni ukilaza wa hali ya juu sana kuwahi kutokea kwenye jukwaa hili la kimataifa. Kwani u hypersonic ni kitu gani hasa kwenye hii siraha?Baada ya tathmini ya mashambulizi makubwa zaidi ya makombora tangu vita ianze juzi nchini Ukraine, msemaji wa jeshi la anga la Ukraine anasema Patriot zizotumika katika pambano hilo dhidi ya makombora kama Kinzhal zimethibitika kuendelea kufanya kazi vizuri na hivyo WaUkraine wasiwe na hofu yoyote kuhusu mfumo huo.
Kwa uelewa kifupi; Patriot ni mfumo wa ulinzi wa anga wenye sehemu mbalimbali na kila sehemu inawekwa umbali kadhaa na sehemu nyingine. Radar inakuwa sehemu tofauti, launchers hadi 7 na interceptors kwingine sehemu mbalimbali, antenna kwingine na kituo cha control kwingine.
Huyu mfumo wote na chanzo chake cha nishati au generator ambao unaweza kupangiliwa katika eneo la zaidi ya nusu kilometa ndio unaitwa Patriot, hivyo ukisema Patriot imeunguzwa au imetunguliwa huku unaonyesha kipande cha clip cha sehemu moja tu ikiwaka moto unaonekana kilaza au boksi tupu kichwani usiyejua unachosema.
Katika taarifa nyingine Mtaalamu mmojawapo wa masuala ya kijeshi wa Uingereza anasema mfumo wa Patriot unaweza kuharibiwa wote endapo tu utafanyiwa mashumbulizi wote kwa usahihi mkubwa sana kwa pamoja na kwa makombora mengi sana.
Kwa upande mwingine mtaalamu huyo anasema hata hivyo Kinzhal za Urusi zinazoendelea kutunguliwa na Patriot nchini Ukraine sio hypersonic halisi bali ni makombora ya ballistics tu waliyoyaboresha kidogo kuyazidi mengine!
Ajaribu aoneSiku Marekani wakiingia watafumua hadi mjii mkuu wa Urusi..... huyu Urusi ambaye amelizwa na kainchi kadogo hapo jirani.
Mahaba haya mtoto wa kiume duuh, siku hizi hakuna wanaume jamani, Russia ndo wameumbuliwa na kuachwa uchi kinzhal siyo tena hypersonic ukweli umewekwa wazi!!Wamepigwa vibaya sana
Nawaonea huruma Taiwan maana Wamenunua Mzigo wa Kutosha halafu unabutuliwa kirahisi kweli . Mfumo unadanganya na Drones ukijitokeza tu Unakutana kitu cha hatari Game is over. Kwa ufupi USA. Imepatwa na mashaka makubwa sana baada kugundua wapo Uchi kabisa .
Wahandisi Warudi kazini tena .Maana Kivu inapigwa hatari tokea Mfumo kuharibiwa huu muda unatafutwa huo mwingine umefichwa wapi wauchakaze tena.
Maskini Ukrine ndiyo mara yangu ya kuona Mzungu kakosa chakula na pakulala.
Hypersonic ni kipengele gani kwenye siraha husika?Mahaba haya mtoto wa kiume duuh, siku hizi hakuna wanaume jamani, Russia ndo wameumbuliwa na kuachwa uchi kinzhal siyo tena hypersonic ukweli umewekwa wazi!!