Patrobas Katambi "adindishiwa" na mwananchi

Patrobas Katambi "adindishiwa" na mwananchi

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Watu wamechoka! Katambi alianza kwa kusema "huo ujinga fanyia wengine".

Mwananchi akaonya na kupinga vikali kutukanwa (kuambiwa mjinga) hadharani. Na Katambi alipoamuru polisi wamkamate mwananchi aliamua kukaa chini.

Tazama video hii ya nusu dakika ujionee mwenyewe.

 
Hawachelewi kuita polisi
Hawana hoja, hawana mawazo chanya, hawana akili, hawana fikra wezeshi, hawana chombo kingine cha kuwatetea zaidi ya polisi na jeshi.

Ingekua ni mimi kaniita mjinga basi ningemwambia mbele ya uso wake kwamba mjinga baba yako ambae hakuvaa condom siku mimba ya kukuzaa ilipotunga (au hata angepiga nyeto tu).

Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho.
 
Tunakoelekea mambo yataendelea kuwa magumu Kwa CCM Kanda ya ziwa Ila tekelezeni ya mwendazake mtakomboleka
Watekeleze lipi? la kuteka au kupiga watu risasi mchana kweupe, au la kutoa matusi majukwaani , kuwa specific watekeleze lipi
 
Back
Top Bottom