- Thread starter
- #21
Madaraka hayana tofauti na bangi. Hulevya.Kabla hajaingia upande huo, alikuwa analaani sana matumizi ya nguvu yalivyokuwa yanatumiwa na watawala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madaraka hayana tofauti na bangi. Hulevya.Kabla hajaingia upande huo, alikuwa analaani sana matumizi ya nguvu yalivyokuwa yanatumiwa na watawala.
Tunataka clip ya tukio zima toka mwanzo mpaka mwisho. Hizi za kukatwa katwa mara nyingi zina ajenda ya kupakana matope.Watu wamechoka! Katambi alianza kwa kusema "huo ujinga fanyia wengine".
Mwananchi akaonya na kupinga vikali kutukanwa (kuambiwa mjinga) hadharani. Na Katambi alipoamuru polisi wamkamate mwananchi aliamua kukaa chini.
Tazama video hii ya nusu dakika ujionee mwenyewe.
View attachment 1861876
Nimejiuliza tu asingekuwa na polisi karibu au polisi wangegoma kutekeleza agizo lake la kumshika huyo jamaa nahisi katambia angeanza yeye kukimbia au kukimbilia kwenye gari , maana jeuri yote hiyo inakuja kwa sababu anaona kuna jeshi la pilisi hapo karibu ndio maana anaongea kwa kujiamini na jeuri.Madaraka hayana tofauti na bangi. Hulevya.
Kwa hiyo ni sawa kumdindia kiongozi wa serikali?Watu wamechoka! Katambi alianza kwa kusema "huo ujinga fanyia wengine".
Mwananchi akaonya na kupinga vikali kutukanwa (kuambiwa mjinga) hadharani. Na Katambi alipoamuru polisi wamkamate mwananchi aliamua kukaa chini.
Tazama video hii ya nusu dakika ujionee mwenyewe.
View attachment 1861876
Yaani ni sawa kabisa. Uongozi ni kufuata sheria na taratibu vikisaidiwa na hekima na busara, siyo kutumia maguvu.Kwa hiyo ni sawa kumdindia kiongozi wa serikali?
Haikuchukua hata mwezi tangu Magufuli alivyomdhalilisha yule mwananchi wa Mbezi - alirekeshwa kwao Chato ndani ya boxWatu wamechoka! Katambi alianza kwa kusema "huo ujinga fanyia wengine".
Mwananchi akaonya na kupinga vikali kutukanwa (kuambiwa mjinga) hadharani. Na Katambi alipoamuru polisi wamkamate mwananchi aliamua kukaa chini.
Tazama video hii ya nusu dakika ujionee mwenyewe.
View attachment 1861876
Wawe makini kuna siku hata polisi watawagomeaHawachelewi kuita polisi
Jamaa angemlamba kichaa. NyokiWatu wamechoka! Katambi alianza kwa kusema "huo ujinga fanyia wengine".
Mwananchi akaonya na kupinga vikali kutukanwa (kuambiwa mjinga) hadharani. Na Katambi alipoamuru polisi wamkamate mwananchi aliamua kukaa chini.
Tazama video hii ya nusu dakika ujionee mwenyewe.
View attachment 1861876
Hicho kitendo kilitakiwa kukemewa. Turudi kwenye maadili.Yaani ni sawa kabisa. Uongozi ni kufuata sheria na taratibu vikisaidiwa na hekima na busara, siyo kutumia maguvu.
Kabisa mkuu.Hicho kitendo kilitakiwa kukemewa. Turudi kwenye maadili.
Aah huu ni ujingaHaikuchukua hata mwezi tangu Magufuli alivyomdhalilisha yule mwananchi wa Mbezi - alirekeshwa kwao Chato ndani ya box
Huyu Katambi sijui amebakiwa na siku ngapi.
Mungu yupo na ni wa watu wote. Hataniwi!
Huyu mwananchi kaonesha njia. Tuanze kuwadindishia sasaAah huu ni ujinga
Afsa yukosahihi anamjibuje katambi ,katambi ni mahakamaIla viongozi tusimlaumu Waziri. Kwa tuliokuwepo eneo la tukio huyo kwanza sio mwananchi ni Afisa wa Serikali ambaye ni mmiliki wa Bar na Hotel maarufu hapa Shinyanga. Kuna mwananchi alilalamika kuwa Afisa huyo amepora eneo Lake na kuwekeza ujenzi wa ukuta kuzunguka hotel yake.
Ndipo Waziri Katambi alimtaka huyo mmiliki(Afisa mifugo, hapa mmemwita mwananchi) kutoa ufafanuzi. Badala ya kujibu madai ya mwananchi anayemlalamikia yeye akawa anajibu vinginevyo. Kukatokea majibishano mabaya baina ya huyo Afisa na Waziri.
Kwa ufupi Afisa alijibu vibaya, japo nalaani hatua alizochukuliwa lakini hakupaswa kumjibu vile Waziri.
Na mnaofikiri huyo mwananchi ni raia wa kawaida, mjue kuwa huyo ni Afisa Mifugo na mfanyabiashara mwenye bar na hotel maarufu hapa Shinyanga. Na malalamiko ya huyu mwananchi aliyeporwa eneo ni ya miaka mingi sana lakini hakuna msaada wowote wa kisheria aliopatiwa considering kwamba alinyang'anywa eneo na mtu ambae ni giant.
Tusihukumu kwa kutumia incomplete infos. Kwa mashuhuda wengine waliokuwepo wanaweza kunisahihisha. Tujifunze kuheshimu viongozi, kulikuwa na majibishano mengine zaidi ya haya yaliyorekodiwa.