Hawana hoja, hawana mawazo chanya, hawana akili, hawana fikra wezeshi, hawana chombo kingine cha kuwatetea zaidi ya polisi na jeshi.Hawachelewi kuita polisi
Matokeo yake inakuja solidarity fundNdio matokeo ya kutumia fedha za kodi vibaya kununua watu.
Wakati tuliaminishwa kuwa tuko Uchumi wa kati na fedha zipo hazina.Matokeo yake inakuja solidarity fund
Ndiyo maana mwananchi kaamua kama mbwai na iwe.Kisa nini....kumuita mtu mzima mjinga?? Haiwezekani kamwe kisa ? Vyeo vinapita tena kwa kasi
Kabla hajaingia upande huo, alikuwa analaani sana matumizi ya nguvu yalivyokuwa yanatumiwa na watawala.Matumizi mabaya ya madaraka
Watekeleze lipi? la kuteka au kupiga watu risasi mchana kweupe, au la kutoa matusi majukwaani , kuwa specific watekeleze lipiTunakoelekea mambo yataendelea kuwa magumu Kwa CCM Kanda ya ziwa Ila tekelezeni ya mwendazake mtakomboleka