kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,303
- 6,123
Hello bosses and roses
Leo nimeona niandike kuhusu hili swala sababu nasikia wengi wakilalamika, sio majumbani, sio makazini.
Hivi je ulishajisikia ile hali kwamba hauumwi ugonjwa wowote ule ila:-
1. Hauna hamu ya kufanya chochote kile
2. Mda wote unajisikia umechoka, yaani kila siku almost kwa wiki au siku kadhaa mfululizo wewe ni umechoka choka tu
3. Unalala lwa kuchelewa sana ilhali haukuwa unafanya chochote cha maana lakini unaamka umechoka ile mbaya
Hizo ni dalili za 'Spiritual Fatigue', Kuchoka kwa roho.
Huwezi kwenda hospitali ukatibiwa sabb kwa hali hio yote unakua mzima wa mwili ila roho yako imechoka.
Je spiritual inasababishwa na nini
1. Kutunza vinyongo, chuki, na visasi. Hapa kuna mda unaizidishia roho yako negative energy zaidi ya inavyopaswa na ndipo hali hio inajimanifest kwenye mwili bila wewe kujua sababu kuu
2. Kuzidisha madhambi dhidi ya asili(nature) kama vile kuua ua viumbe hai hovyo au kunufaika na mauaji hayo kama vil kula nyama kupindukia.
3. Kuendekeza Kujichua au kuupa mwili burudani kwa njia nyinginezo zisizo za kiasilia au zisizokubalika kiasilia
TIBA.
You cannot treat a spiritual situation with physical means. So inakubidi utulie ujiunganishe na nature (aligning yourself with nature) kwa kufuata namna asilia/nature inavyokuhitaji uenende, kisha nature ndio itaponya roho yako polepole.
~ kali linux