Paul Barthélemy Biya’a ndie Rais mzee zaidi barani Afrika

Paul Barthélemy Biya’a ndie Rais mzee zaidi barani Afrika

Naona ni sawa na Tanzania tu tofauti majina tuu...hawa madogo wengine wapo madarakani Watanzania wanalazimishwa tu kuongozwa...
 
Hivi kijiji cha mvoutessi kwa mzee sangatiti kipo cameroun au ivory coast?

Inanikumbusha kile kitabu cha,

"Three suitors one husband"; na yale maneno ya mzee Abesolo

"About your own marriage! Since when do women speak in Mvoutessi? Why are you trying to have a say in every matter? Doesn't you see your whole family has done such a wise decision for your own benefits? That proves what I always say, don't send your daughters to secondary school. Look at Matalina, who never went to secondary school, doesn't she speak like a sensible and obidient girl?

Wakati huo, kila sentensi unayoisoma inaingia akilini na kunata bila kusahau. Mpaka leo mambo hayajatoka, wakati tunayojifunza ukubwani, mengi yanaingia na kutoka.
 
Back
Top Bottom