Paul Biya amteua mwanaye kuwa Makamu wa Rais

Paul Biya amteua mwanaye kuwa Makamu wa Rais

Ni uongo

Wame-establish hiyo nafasi ya Vice Presiden but hajamteua mwanae
 
Uzuri wa yule mzee hali peke yake ndo maana husikii kelele
 
Rais wa Cameroon Paul Biya amemteua Mwanawe Franck Emmanuel Biya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri na Mkuu wa Majeshi.


Hivi karibuni Bunge la Cameroon liliidhinisha kwa wingi marekebisho ya Katiba ili kurejesha nafasi ya Makamu wa Rais.Makamu wa Rais atachukua kiti cha Urais moja kwa moja ikiwa Rais Paul Biya atakufa, kujiuzulu, au kutokuwa na uwezo.

Soma pia Bunge la Cameroon laanzisha nafasi ya Makamu wa Rais. Upinzani Wapiga Yowe

Kulingana na sheria, Makamu wa Rais atateuliwa na kuachishwa kazi na Rais na atahudumu kwa muda uliosalia wa muhula wa Rais wa miaka saba endapo Rais atashindwa kuhudumu katika wadhifa wake.

Kurejeshwa kwa Makamu wa Rais kunaashiria marekebisho ya kwanza ya katiba ya Cameroon tangu mwaka 2008 wakati ukomo wa mihula ya Urais ulipotupiliwa mbali hatua iliyozua maandamano nchi nzima.

Makamu wa Rais hapo awali alikuwa sehemu ya muundo wa utawala wa Cameroon lakini ulifutwa mwaka 1972 kufuatia kura ya maoni ya Katiba.

============

Cameroon's long-serving president, Paul Biya, has appointed his son as the vice president.

The appointment of Franck Emmanuel Biya, announced in a presidential decree on Saturday, April 4, came days after his father reintroduced the vice president position.

Why did Paul Biya reintroduce the vice president position?​

The bill, supported by 200 lawmakers during a joint session of the Senate and National Assembly, states that the vice president automatically assumes the presidency should the president resign, become incapacitated, or die.

Before the amendment, the Constitution stipulated that the Senate leader would briefly assume presidential duties upon the president's death or incapacitation; after which an election would be held.

Government officials stated the restructuring will stabilise governance and ensure a clear line of succession should the president die or become incapacitated.

However, with Emmanuel's appointment, the country now fears the return of political succession as the VP will not be elected but appointed by the president and subsequently serve a seven-year term.

The vice president position was abolished in 1972 following a constitutional referendum.

Source: MSN
Hizi ndo habari za utazikuta Africa
Kuteua mtoto awe Waziri wa ELIMU na mkwe awe wa Afya
 
Back
Top Bottom