Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Karibu, mikoani tunafika.
Kuhusu kucharge labour inategemeana na nature ya kazi mara nyingi inakuwa negotiable. Charge zetu za kawaida ni 40% ya gharama ya materials.
Mkuu siku zote naheshimu kazi na utalaam wa watu. lakini kwa hili jitafakari. Hata kama tunafuta riziki...... hii bei yako ni kubwa mno. Registered companies za Architects na civil engineers..wana charge 25% ya gharama za materials. Na hili nina uhakika nalo maana nimetumia hiyo service.
Well, inawezekana wewe utalaam wako ni tofauti ndo maana unapiga hiyo bei. Lakini sidhani kama kwa mwendo huo utapata wateja wengi. Personally nilikuwa nimependa kazi yako. Ila hii post yako imenitoa kwenye reli completely.
Kila la kheri mkuu katika utafutaji.