Hongera sana mh. RC wa Arusha, Paul Christian Makonda.
Binafsi nakukubali sana hasa kwa mambo makuu 5 ambayo ni:-
I. Ubunifu
II. Usimamizi
III. Ufuatiliaji
IV. Ujasiri
V. Kutokukubali kushindwa.
Hongera sana kwa kufuata nyayo za Mwamba wa Afrika, JPM. Tulimpenda sana yule Mwamba. Mungu akujalie kila la heri ili siku moja Tanzania ije kumpata Mwamba mwingine kama JPM.
NB:- Kipekee naomba umkanye RC mwenzio yule ambaye anashindwa kuwa mbunifu ili aonekane kwa ubunifu wake badala yake anatumia DINI ili aonekane na Mamlaka za uteuzi kwamba na yeye ana DINI sawa na DINI aliyonayo Mamlaka ya uteuzi.
Hatujawahi kuwa na mtu mbovu kiasi hicho. Mwambie aache kutumia DINI ili kulinda uteuzi bali apige kazi kama wewe(Makonda) ili kulinda uteuzi.