Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Hata mm nashangaa anakua hana tofauti na hawa wa kwetu,choka mbaya....nikimsomaga huyu fundi namkumbuka Gagarino(R.I.P)
..yani na kuendelea kote Waingereza wameshindwa kumsaidia huyu jamaa?..dah
...95!..basi ishu za kina Rio zilie kabunyau tu kiutu uzima!...Huyu jamaa nilianza kusoma habari zake kwenye OK na HELLO magazine mwaka 95, wakati huo alikuwa kama David Beckham wao, wanawake pia wanachangia, alimoa mdada alieitwa Shirley wakati huo harusi ilikua kwenye HELLO pamoja na OK, Jamaa pia alikua wife bitter lakini mwanamama aliminya mpaka wino ulivyodondoka kwenye cheti cha ndoa ndio akasema anapigwa, divorce ilibidi wagawane na mwanamke alipata zaidi kwakua alikua na mtoto nae mmoja wa kiume. Toka pale jamaa akaanza kwenda down south emotionally.
hahaha. ...unafiki banaShetani anatesa sana watu. Kuna raha gani kutumikishwa kiasi hiki?
huyu alianzakuvuta na mama yake akiwa na miaka mitano xo mtasubir sanaaaKuna huyu mjinga nayeye mtamsikia tu muda si mrefu.
Labda definition ya fresh imebadilika.Bhana tafadhari, we unaona mtu anakula mitaa hats chupi hajavaa unasema Yuko fresh?
Mkuu sikio la kufa hilo. Alichangiwa na friends zake mara nyingi tu esp. Gary Lineker kwenda rehab, FA na Government pia walimchangia....nikimsomaga huyu fundi namkumbuka Gagarino(R.I.P)
..yani na kuendelea kote Waingereza wameshindwa kumsaidia huyu jamaa?..dah
...Gary Lineker!..dah,fundi mwingine!Mkuu sikio la kufa hilo. Alichangiwa na friends zake mara nyingi tu esp. Gary Lineker kwenda rehab, FA na Government pia walimchangia
ni nani huyu?huyu alianzakuvuta na mama yake akiwa na miaka mitano xo mtasubir sanaaa
ni kama wamasai tu.Bhana tafadhari, we unaona mtu anakula mitaa hata chupi hajavaa unasema Yuko fresh?
Nawasiwasi NA mstariwapi tokachimi(mtoto nae wakiume)..sinahakika kama n wakeHuyu jamaa nilianza kusoma habari zake kwenye OK na HELLO magazine mwaka 95, wakati huo alikuwa Golden boy wao, wanawake pia wanachangia, alimoa mdada alieitwa Shirley wakati huo harusi ilikua kwenye HELLO pamoja na OK, Jamaa pia alikua wife bitter lakini mwanamama aliminya mpaka wino ulivyodondoka kwenye cheti cha ndoa ndio akasema anapigwa, divorce ilibidi wagawane na mwanamke alipata zaidi kwakua alikua na mtoto nae mmoja wa kiume. Toka pale jamaa akaanza kwenda down south emotionally.
Huyuunani rastafariWanapandishwa na kushushwa..
Wiz khalifa a.k.a Amber Rose pillow..Huyuunani rastafari