Paul Gascoigne (Gazza) anasikitisha kwa kweli

Paul Gascoigne (Gazza) anasikitisha kwa kweli

Huyu mtu alikuwa anaujua mpira na vituko vingi kuna siku timu ya taifa wanafanya mazoezi sasa kulikuwa na kijiukuta kapanda Paul Ince(kaka mkuu)gazza alikuwa nyuma yake akamvua bukta Ince alikuwa mbabe kweli basi kwa ghadhabu akageuka ili ashambulie tahamaki anamkuta gazza ikabidi achake.
Kituko kingine refa alidondosha kadi ya njano basi gazza akaiokota na kunyoosha juu kuwa kampa kadi refa kwa uzembe wa kuidondosha.Atabaki kuwa ni mtu mwenye kipaji kati ya waingereza.
 
....nikimsomaga huyu fundi namkumbuka Gagarino(R.I.P)
..yani na kuendelea kote Waingereza wameshindwa kumsaidia huyu jamaa?..dah
 
So sad, addiction ya alcohol na drugs zingine ni vitu vya kuepuka to the maximum. Marriage inahitaji vilevile a right choice, unless unaweza ukadata bila hata hizo DRUGS
 
Huyu jamaa nilianza kusoma habari zake kwenye OK na HELLO magazine mwaka 95, wakati huo alikuwa kama David Beckham wao, wanawake pia wanachangia, alimoa mdada alieitwa Shirley wakati huo harusi ilikua kwenye HELLO pamoja na OK, Jamaa pia alikua wife bitter lakini mwanamama aliminya mpaka wino ulivyodondoka kwenye cheti cha ndoa ndio akasema anapigwa, divorce ilibidi wagawane na mwanamke alipata zaidi kwakua alikua na mtoto nae mmoja wa kiume. Toka pale jamaa akaanza kwenda down south emotionally.
...95!..basi ishu za kina Rio zilie kabunyau tu kiutu uzima!...
 
Kuna huyu mjinga nayeye mtamsikia tu muda si mrefu.
eb1b9d3cc336aabe7daeaeaa02103b7c.jpg
huyu alianzakuvuta na mama yake akiwa na miaka mitano xo mtasubir sanaaa
 
....nikimsomaga huyu fundi namkumbuka Gagarino(R.I.P)
..yani na kuendelea kote Waingereza wameshindwa kumsaidia huyu jamaa?..dah
Mkuu sikio la kufa hilo. Alichangiwa na friends zake mara nyingi tu esp. Gary Lineker kwenda rehab, FA na Government pia walimchangia
 
Mkuu sikio la kufa hilo. Alichangiwa na friends zake mara nyingi tu esp. Gary Lineker kwenda rehab, FA na Government pia walimchangia
...Gary Lineker!..dah,fundi mwingine!
...si wanajifanyaga wataalamu wa kubadilisha damu sijui...Gazza nembo ya soka la England,wambebe tu hata kwa mbeleko la chuma!
 
Duh nilimpendaga enzi hizo, bodi lake lilikuwa motoooooo hadi ilibidi nimshike mkono siku moja kusalimiana nae nilipokutana nae... Alikuja Tandale... Ooh jamani ndio hivyo tena...anasikitisha duh!!!
 
Huyu jamaa nilianza kusoma habari zake kwenye OK na HELLO magazine mwaka 95, wakati huo alikuwa Golden boy wao, wanawake pia wanachangia, alimoa mdada alieitwa Shirley wakati huo harusi ilikua kwenye HELLO pamoja na OK, Jamaa pia alikua wife bitter lakini mwanamama aliminya mpaka wino ulivyodondoka kwenye cheti cha ndoa ndio akasema anapigwa, divorce ilibidi wagawane na mwanamke alipata zaidi kwakua alikua na mtoto nae mmoja wa kiume. Toka pale jamaa akaanza kwenda down south emotionally.
Nawasiwasi NA mstariwapi tokachimi(mtoto nae wakiume)..sinahakika kama n wake
 
Huyu hapa akishangilia goli lake dhidi ya Scotland Euro 96.
stream_img.jpg
 
Kwenye ubora wake alikuwa bonge la player, maneno ti hayatoshi kumuelezea pasina vitendo... Ila kwenye ubora wake wa sasa ni mlevi mbwa.. Picha tu inatosha kuelezea yaliyo nyuma ya mgongo...

Namuonea huruma, moja kati ya vipaji adimu uingereza walibarikiwa.
 
Back
Top Bottom