Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Huyu mtu alikuwa anaujua mpira na vituko vingi kuna siku timu ya taifa wanafanya mazoezi sasa kulikuwa na kijiukuta kapanda Paul Ince(kaka mkuu)gazza alikuwa nyuma yake akamvua bukta Ince alikuwa mbabe kweli basi kwa ghadhabu akageuka ili ashambulie tahamaki anamkuta gazza ikabidi achake.
Kituko kingine refa alidondosha kadi ya njano basi gazza akaiokota na kunyoosha juu kuwa kampa kadi refa kwa uzembe wa kuidondosha.Atabaki kuwa ni mtu mwenye kipaji kati ya waingereza.
Kituko kingine refa alidondosha kadi ya njano basi gazza akaiokota na kunyoosha juu kuwa kampa kadi refa kwa uzembe wa kuidondosha.Atabaki kuwa ni mtu mwenye kipaji kati ya waingereza.