Paul Kadushi hakupaswa kuwepo katika Tume ya Jaji Lila. Alihusika na makesi ya hovyo dhidi ya Chadema ktk awamu ya 5

Paul Kadushi hakupaswa kuwepo katika Tume ya Jaji Lila. Alihusika na makesi ya hovyo dhidi ya Chadema ktk awamu ya 5

Kichwa cha habari chahusika.

Rais Samia amemteua Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila.

Paul Kadushi ndiye muasisi wa muenendo mbaya wa mawakili wa serikali dhidi ya wapinzani kipindi cha Magufuli.

Anayoyafanya Nassoro Katuga ktk kesi ya Lissu, yalikuwa yakifanywa na Paul Kadushi ktk kesi za Freeman Mbowe, na Godbless Lema.

Binafsi nilitegemea watu kama Paul Kadushi wastaafishwe kazi za umma, na sheria, badala ya kuwateua ktk nafasi nyingine.

Uteuzi wa Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila unapunguza imani ktk tume hiyo.
Hayta bila hao, hizi ni comedy tume
 
TOKA MAKTABA

Wajumbe na Makamishna wa Tume
Tume hii inajumuisha wajumbe wafuatao kutoka ndani na nje ya nchi:
  • Jaji Shaban Ali Lila – Mwenyekiti wa Tume (Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania)
  • Jaji Mstaafu Gad John Mjemmas – Mjumbe (Kamishna)
  • Jaji Mstaafu Awadh Mohamed Bawazir – Mjumbe (Kamishna)
  • Aishieli Nelson Sumari – Mjumbe (Kamishna)
  • Jaji Petrus T. Damaseb – Mjumbe (Kamishna kutoka Namibia, Naibu Jaji Mkuu wa Namibia)
  • Jaji Barishaki Cheborion – Mjumbe (Kamishna kutoka Uganda, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Uganda)

TOKA MAKTABA:

09 October 2018
Na Charles Ndagulla, Moshi

Jaji Sumari majaribuni tena Moshi​

View attachment 3645431

19 September 2026
Kamati Kuu ya CHADEMA YATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU TUME YA JAJI CHANDE, TUME YA JAJI LILA NA WAJUMBE WAO

View: https://m.youtube.com/watch?v=_5iRqKra6Bs
 
Kichwa cha habari chahusika.

Rais Samia amemteua Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila.

Paul Kadushi ndiye muasisi wa muenendo mbaya wa mawakili wa serikali dhidi ya wapinzani kipindi cha Magufuli.

Anayoyafanya Nassoro Katuga ktk kesi ya Lissu, yalikuwa yakifanywa na Paul Kadushi ktk kesi za Freeman Mbowe, na Godbless Lema.

Binafsi nilitegemea watu kama Paul Kadushi wastaafishwe kazi za umma, na sheria, badala ya kuwateua ktk nafasi nyingine.

Uteuzi wa Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila unapunguza imani ktk tume hiyo.
Yupo kwa kuwa CCM wanaoamini katika uchawa,na kamwe sii weledi,ila Nani anaweza deal,Nani anaamini katika wizi Nani anaamini katika ufisadi hiyo ni sofa za kilo za Uzalendo wa wa ccm kulingana na tafsiri ya chama chao.
 
Back
Top Bottom