Kichwa cha habari chahusika.
Rais Samia amemteua Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila.
Paul Kadushi ndiye muasisi wa muenendo mbaya wa mawakili wa serikali dhidi ya wapinzani kipindi cha Magufuli.
Anayoyafanya Nassoro Katuga ktk kesi ya Lissu, yalikuwa yakifanywa na Paul Kadushi ktk kesi za Freeman Mbowe, na Godbless Lema.
Binafsi nilitegemea watu kama Paul Kadushi wastaafishwe kazi za umma, na sheria, badala ya kuwateua ktk nafasi nyingine.
Uteuzi wa Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila unapunguza imani ktk tume hiyo.