Hayta bila hao, hizi ni comedy tumeKichwa cha habari chahusika.
Rais Samia amemteua Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila.
Paul Kadushi ndiye muasisi wa muenendo mbaya wa mawakili wa serikali dhidi ya wapinzani kipindi cha Magufuli.
Anayoyafanya Nassoro Katuga ktk kesi ya Lissu, yalikuwa yakifanywa na Paul Kadushi ktk kesi za Freeman Mbowe, na Godbless Lema.
Binafsi nilitegemea watu kama Paul Kadushi wastaafishwe kazi za umma, na sheria, badala ya kuwateua ktk nafasi nyingine.
Uteuzi wa Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila unapunguza imani ktk tume hiyo.
TOKA MAKTABA
Wajumbe na Makamishna wa Tume
Tume hii inajumuisha wajumbe wafuatao kutoka ndani na nje ya nchi:
- Jaji Shaban Ali Lila – Mwenyekiti wa Tume (Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania)
- Jaji Mstaafu Gad John Mjemmas – Mjumbe (Kamishna)
- Jaji Mstaafu Awadh Mohamed Bawazir – Mjumbe (Kamishna)
- Aishieli Nelson Sumari – Mjumbe (Kamishna)
- Jaji Petrus T. Damaseb – Mjumbe (Kamishna kutoka Namibia, Naibu Jaji Mkuu wa Namibia)
- Jaji Barishaki Cheborion – Mjumbe (Kamishna kutoka Uganda, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Uganda)
TOKA MAKTABA:
09 October 2018
Na Charles Ndagulla, Moshi
Jaji Sumari majaribuni tena Moshi
View attachment 3645431
Yupo kwa kuwa CCM wanaoamini katika uchawa,na kamwe sii weledi,ila Nani anaweza deal,Nani anaamini katika wizi Nani anaamini katika ufisadi hiyo ni sofa za kilo za Uzalendo wa wa ccm kulingana na tafsiri ya chama chao.Kichwa cha habari chahusika.
Rais Samia amemteua Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila.
Paul Kadushi ndiye muasisi wa muenendo mbaya wa mawakili wa serikali dhidi ya wapinzani kipindi cha Magufuli.
Anayoyafanya Nassoro Katuga ktk kesi ya Lissu, yalikuwa yakifanywa na Paul Kadushi ktk kesi za Freeman Mbowe, na Godbless Lema.
Binafsi nilitegemea watu kama Paul Kadushi wastaafishwe kazi za umma, na sheria, badala ya kuwateua ktk nafasi nyingine.
Uteuzi wa Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila unapunguza imani ktk tume hiyo.
Chukii?chuki binafsi haifai gentleman 🐒
wawapi huyo gentleman? 🐒Chukii?
Refa wa Yanga vs Simba referee akiwa Mangungu utakubali?
Tumia akili Kidogo.