Paul Kagame aionya Ubelgiji "Nyinyi sio Mungu, tutawakabili"

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia.

Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema

“Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia zaidi ya zaidi ya 30 iliyopita wameua Wanyarwanda. Wanasema hatuwaruhusu kufanya hiki au kile na tunawauliza nyie ni nani? nani kawaweka Ubelgiji kutusimamia?”

Anafikiri Belgium wameendekeza siasa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kama Tanzania na SADC kiasi ambacho saivi anawadharirisha na kuwachezea kama ma toy yake eeh?

Huyu mzee mwisho wake hauko mbali hakika! Awachezee Tanzania na wenzake ambao wanajeshi wanafanya mazoez kuwatisha wananchi wasio na hatia ila sio Belgium.
 
Wakuu,

Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia.

Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema

“Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia zaidi ya zaidi ya 30 iliyopita wameua Wanyarwanda. Wanasema hatuwaruhusu kufanya hiki au kile na tunawauliza nyie ni nani? nani kawaweka Ubelgiji kutusimamia?”

Kagame ni mmoja tu
 
Kagame asisahau wazungu hawatupani. Hao wanaopa jeuri kuna siku watamgeuka. Mzungu hata akikulisha chakula usife njaa ni kama vile mfugaji amlishavyo kuku ili ikifika idi au krismass amchinje. Achunge mdomo.
 
dogo naye sasa amekuwa kama general muhoozi
 
Kagame asisahau wazungu hawatupani. Hao wanaopa jeuri kuna siku watamgeuka. Mzungu hata akikulisha chakula usife njaa ni kama vile mfugaji amlishavyo kuku ili ikifika idi au krismass amchinje. Achunge mdomo.
swala la kagame kufa kama panya road ni suala la mda tu hatoboi two yrs
 
Wakuu,

Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia.

Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema

“Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia zaidi ya zaidi ya 30 iliyopita wameua Wanyarwanda. Wanasema hatuwaruhusu kufanya hiki au kile na tunawauliza nyie ni nani? nani kawaweka Ubelgiji kutusimamia?”

Huyu Jamaa Ana stiless
 
Muda wake unaelekea mwisho,kashaanza kuwaambia wanyawaranda wafunge mkanda,muda si muda mambo yatakua magumu sana
 
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameionya nchi ya Ubelgiji kuacha kutoa maagizo kwa Rwanda na kuipangia cha kufanya utadhani kwamba Mungu amewapa jukumu na haki ya kuwasimamia ambapo amesema Rwanda haitokubali kutawaliwa tena na Wabelgji bali itapambana nao na itawashinda.Akiongea jana Jumapili March 16,2025 katika ukumbi wa BK Arena nchini Rwanda, Kagame amesema “Nawaonya Wabelgi , Wabelgiji wameiharibu Rwanda, Wameua Wanyarwanda, tuliwaonya zamani na tunawaonya leo, wanasema ‘hawatuwaruhusu kufanya hiki na kile’ na sisi tunawauliza nyinyi ni nani?, nani kawapa jukumu la kutusimamia sisi?”“Wanyarwanda wanamuamini Mungu, mnaamini Mungu amewapa Wabelgiji jukumu la kuisimamia Rwanda?, kwa uwezo huu mdogo tulionao, tutapambana nao wote wanaotumia muda wao kututukana, kujaribu kututesa na hawatoweza kutushinda, watuache tuishi kwa amani, baada ya miaka yote tuliyotumia kupambana kuijenga Nchi yetu tunataka kuwa Wanyarwanda hatutaki kuwa Wabelgiji”“Rwanda kwa bahati mbaya tulitawaliwa na ka-nchi kadogo (Ubelgiji) ambayo ilienda mbali zaidi na kuigawa nchi yetu ili iwe ndogo kama nchi yao, sijawahi kusita kulieleza hili, tulilaani hili zamani na tutaendelea kulaani jambo hilo leo, hakuna kitu kibaya kitatokea kwetu kushinda majanga tuliyopitia huko nyuma, ndio maana hatupaswi kuogopa kusema na kujipambania sisi wenyewe dhidi ya wale wanaotaka kutuangamiza”
 
Back
Top Bottom