Kagame ni mmoja tuWakuu,
Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia.
Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema
“Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia zaidi ya zaidi ya 30 iliyopita wameua Wanyarwanda. Wanasema hatuwaruhusu kufanya hiki au kile na tunawauliza nyie ni nani? nani kawaweka Ubelgiji kutusimamia?”
Kagame asisahau wazungu hawatupani. Hao wanaopa jeuri kuna siku watamgeuka. Mzungu hata akikulisha chakula usife njaa ni kama vile mfugaji amlishavyo kuku ili ikifika idi au krismass amchinje. Achunge mdomo.Wakuu,
Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia.
Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema
“Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia zaidi ya zaidi ya 30 iliyopita wameua Wanyarwanda. Wanasema hatuwaruhusu kufanya hiki au kile na tunawauliza nyie ni nani? nani kawaweka Ubelgiji kutusimamia?”
dogo naye sasa amekuwa kama general muhooziWakuu,
Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia.
Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema
“Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia zaidi ya zaidi ya 30 iliyopita wameua Wanyarwanda. Wanasema hatuwaruhusu kufanya hiki au kile na tunawauliza nyie ni nani? nani kawaweka Ubelgiji kutusimamia?”
swala la kagame kufa kama panya road ni suala la mda tu hatoboi two yrsKagame asisahau wazungu hawatupani. Hao wanaopa jeuri kuna siku watamgeuka. Mzungu hata akikulisha chakula usife njaa ni kama vile mfugaji amlishavyo kuku ili ikifika idi au krismass amchinje. Achunge mdomo.
si ndo zimebaki chawa!Jamaa jasiri sana kama nyerere, kizazi cha freedom fighter kilikuwa supa sana na kikiisha sijui watakaofatia watakuwa wa namna gani
Wazungu wanafurahi kichizi, changamoto hawana tena, chawa ni maji mara mojasi ndo zimebaki chawa!
Huyu Jamaa Ana stilessWakuu,
Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia.
Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema
“Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia zaidi ya zaidi ya 30 iliyopita wameua Wanyarwanda. Wanasema hatuwaruhusu kufanya hiki au kile na tunawauliza nyie ni nani? nani kawaweka Ubelgiji kutusimamia?”
Ndiyo hao wa kujiita chawaJamaa jasiri sana kama nyerere, kizazi cha freedom fighter kilikuwa supa sana na kikiisha sijui watakaofatia watakuwa wa namna gani