Paul Kagame aionya Ubelgiji "Nyinyi sio Mungu, tutawakabili"

Wabeleji wana historia chafu sana katika Bara hili la Afrika.

Mfalme Leopold aliua mamilioni.
Yaani huyo mfalme alikuwa katili na wazungu huwa wanaona sawa tu alivyouwa watu zaidi ya 10m

Ila wao wanaona Hitler ndio alikuwa mbaya kisa aliuwa wayahudi
 
Huyu Mzee sasa anaenda kuiamgamiza Rwanda!?
 
Teyari huko Balozi wa Ubeleji katwangwa "Persona non grata".💪

Afrika sasa inaamka thank you God.
Sawa Afrika inaamka lakini sio sisi.

Tanzania mpaka leo mabango ya biashara yanatumia picha za wazungu na maandishi ya Kichina. Na hakuna anayeona tuna shida ya ku kiss ass ya mweupe. Mradi kuna mabango ya uchawa kwa huyu mama, basi wanaona tuko poa.
 
Kagame sasa amefikia ukomo na utawafuata wale ambao wewe uliwatanguliza mbele ya haki!
Kagame umeua sana wenzio uliokuwa nao, imeandikwa ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga na sasa MUDA UMEWADIA.
 
Hivi Kagame anamjua Mungu kweli? Angeua binadamu wenzake kama kuku! Tena bila makosa!
 
Tusipoamka tutaamshwa.
 
Acha ujinga mkuu huezi kua mnyonge muda wote Hawa wazungu hawana maana .
 
Teyari huko Balozi wa Ubeleji katwangwa "Persona non grata".💪

Afrika sasa inaamka thank you God.
Africa inazidi kuchangamka Kila siku ...ukoloni mambo Leo ukiisha Africa Ina utajiri zaidi ya ulaya ,,sema kuna mijitu kama mishoga yaani inaona bila wazungu hatuezi
 
Wabeleji ndio waliokula njama za kumuondoa Mwami wa Rwanda, Mwami wa Kiafrika aliyetawala watu wake kwa maelfu ya miaka bila Genocide wala kuwauza utumwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…