Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Hiyo Nchi ni Mali binafsi kama kina Kim wanavyojimilikisha N.Korea.
Nchi itasambaratika wakiendelea hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Nchi ni Mali binafsi kama kina Kim wanavyojimilikisha N.Korea.
Yule Ian Kagame ndio Mkuu wa Kikosi Cha Ulinzi wa Rais 😂😂View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Mwisho mbaya upi wakati wote wako vizuri tuu wakiongozwa na Paulo Byiya wa Cameron?Hii ni aibu kubwa sana uzuri wa maditeta Huwa Wana mwisho mbaya.
Mwisho mbaya upi wakati wote wako vizuri tuu wakiongozwa na Paulo Byiya wa Cameron?Hii ni aibu kubwa sana uzuri wa maditeta Huwa Wana mwisho mbaya.
Mbona North Korea hawajasambaratika?Nchi itasambaratika wakiendelea hivi
Nawapenda sana watu wanaoonesha rangi zao halisi kama mheshimiwa kagame.View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Maendeleo yapi hayo Rwanda inayo kuzidi Tanzania?Kipi bora kuwa chini ya udikteta na kupata maendeleo au kuwa chini ya demokrasia na maendeleo zero?
Nasikia ICC ishaanza kumuhitajiView attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Neno 'Maendeleo' lina maana pana.Kipi bora kuwa chini ya udikteta na kupata maendeleo au kuwa chini ya demokrasia na maendeleo zero?
Typical KIM 😂😂😂👇👇View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Mwenye uweza wa kuwafaham Hao watoto na picha zao...
Napata makangafu nikijua lini Hao watoto wamefikia cheo cha Maj General
THE END IS NEAR hapo ameanza kutapatapa na kurusharusha miguuView attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Maendeleo ya kwanza ya mwanadamu ni UHURU wake mengine yafuateKipi bora kuwa chini ya udikteta na kupata maendeleo au kuwa chini ya demokrasia na maendeleo zero?
Tatizo linakuja pale unapotawala nchi yako kwa mkono wa chuma.Jamaa ni kama Museven, hawajiamini na nguvu zinaisha, umri unakutupa mkono.
Kikubwa wasirudi kwenye machafuko, wakirudi huko Tanzania ndio mpokea wakimbizi.
Hao Alex na Andrew ni ndugu zake au watoto wake?View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote