Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Trump alimteuwa mkwe wake kwenye serikal yake akamteuwa mtoto wake hatukulaumu akifanya kagame inakuwa nongwaKiwango cha akili cha Watanzania ni kidogo Sana , hapo kwenu yenyewe teuzi nyingi zinaenda kiundugu hamsemi, hapa mnalipuka kama watu manaowashwa mnataka kukunwa , hapo cha ajabu ni kipi?
Mzee Sio watoto mbona ni mafaza kabisa ...nadhani ni Hilo jina ndio limechanganyaMwenye uweza wa kuwafaham Hao watoto na picha zao...
Napata makangafu nikijua lini Hao watoto wamefikia cheo cha Maj General
Wapuuzi ndio hulaumu kagame watoto wa kuzaa wa kiume ni Ian na Ivan , hao wengine wanatumia jina tu maana jina kagame ni common Rwanda tena kwa hao hawana uhusiano wowote na kagame , hasa siku Ian akiwa CDF watu watawehuka kabisa, na wala hakuna la ajabu hapo mbona Leo Riz ni waziri hatusemi, mkwe wa namba moja ni waziri watu wako kimya, wakurugenzi huko kwenye halmashauri ni watoto au ndugu wa viongozi hatusemi, haya makongoro ni mkuu wa mkoa watu wako kimya , wakisikia habari za Rwanda na Uganda ndio makalio huwawasha na kujifanya wachambuzi wa siasa za kimataifa,Hata Trump alimteuwa mkwe wake kwenye serikal yake akamteuwa mtoto wake hatukulaumu akifanya kagame inakuwa nongwa
Huu ndio ukweli watu wanakula nchi na nafasi nyeti huwekana wao kwa wao lakini wapuuzi wachache wamemuona kagame tuHuta huku kwetu yaleyale tu balozi zetu nyingi zimejaaa ndugundugu kwa style ya kutumia jina la pili badala ya la ukoo tusiwashtukie.
Demokrasia ni utapeli wa wazi kama unavosema , na duniani hakuna demokrasia , trump aliteua hadi mwanae kelele hatukuzisikia, Leo hii Israel kaua watu bila huruma , angefanya wasiomtaka angeshakamatwa muda mrefuJuz kiduku kampandisha cheo jeshini dada ake, media za mabeberu zimepiga kelele dunia nzima kwamba KIDUKU Ni dikteta.
Leo Kagame kateua ndugu zake wawili, media zote Kimya, kana kwamba Ni jambo la kawaida.
Africa nzima Huwezi kusikia NGO za mabeberu zillkilaani hili suala.
HII TAFSIRI YAKE NI NINI,
Democracy ya wazungu Ni utapeli, democracy Ni kichaka Cha mabeberu kufanikishia ajenda zao za kinyonyaji.
Na wakiona unazingua, wanatumia hiyo hiyo democracy kukuchafua (media) na kukusulubisha (military)
Bado Angie sasa.View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Angie ni katibu mkuu wizara ya maendeleo na vijana muda mrefu Sana kabla hata hajaolewaBado Angie sasa.
Wana maendeleo yapi sasa?Kipi bora kuwa chini ya udikteta na kupata maendeleo au kuwa chini ya demokrasia na maendeleo zero?
🤣🤣🤣🤣 kuna Familia moja hapa kwetu inaenda kama Hao....Angie ni katibu mkuu wizara ya maendeleo na vijana muda mrefu Sana kabla hata hajaolewa
Sahii kbs mkuu, democracy Ni illusionDemokrasia ni utapeli wa wazi kama unavosema , na duniani hakuna demokrasia , trump aliteua hadi mwanae kelele hatukuzisikia, Leo hii Israel kaua watu bila huruma , angefanya wasiomtaka angeshakamatwa muda mrefu