Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

Ninachojua tu ni kwamba Tanzania kwa miaka hii ya karibuni ingempata Rais kama Paul Kagame kwa Mikakati yake na Uwezo wake mkubwa wa Akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina UAE, Malaysia, South Africa huku tukianza kuwafukuzia akina Uingereza, Marekani, Ufaransa, Ujerumani na Sweden ila imekuwa ni Kinyume chake na bahati mbaya pia.
 
Ni suala la muda tu kabla hawajamtema, kuna Vibaraka wake wako humu hawatoamini.

Mzungu hawajahi kuwa na maslahi ya kudumu na Mwafrika.

Kitu kinachoitwa "Ego" ni kibaya sana. Unafika muda Nature inakushikisha adabu halafu unatafuta hifadhi kwenye nchi za watu wengine wakati umeshawaumiza watu kibao.
 
Acha uongo wako.
Mbona Rwanda ni masikini sana.
 
Kwa hiyo unataka kusemaje suala la Rais wetu kwenda kupiga picha na kutembea na Kagame?
 
As long as you are a globalist,they don't have a problem with you
 
PK anawawinda wapinzani wake kama kuku
Kumbuka mauaji ya Patrick Karegeya aliekutwa kanyongwa hotelini nchini Afrika kusini
Sasa hivi anamshikilia Paul Rusesebagina aliecheza filamu ya Hotel Rwanda,
Ukikaa na wacongoman ukiwauliza kwa nini waasi hawaishi nchini mwao wanakiri kuwa wao hawana uasi na nchi yao na hawawezi kuuana wenyewe kwa wenyewe,waasi wanatoka nje ya Congo(Uganda na Rwanda zinatajwa)
Ukweli wakati mauaji ya Kimbari yanatokea PK alikuwa ndio Kiongozi wa waasi(RPF..Rwandese Patriotick Front) na hao ndio waliohusika kuangusha ndege na kupelekea mauaji ya halaiki
 
Na hicho RPF walipanga kabisa na sio hivyo tu, RPF vilevile waliua watusi wenzao wengi tu pamoja na wahutu.

Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
 
naniliu empire... wote wake zao wanaitwa Janet.. bila shaka pia wake zao wanatoka kijiji kimoja..makamanda wengi wa UPDF wameoa tutsi...eneo la Kivu na ukanda wote ule ni mali yao na ndio walinzi wa rasilimali zao ukanda ule... ukiingia deep utaelewa pia TZ ni target pia ije kuwa kama DRC lakini ni long term goals za wazungu...WaTZ tunapaswa kuishi kwa akili tusiingie kwenye mtego huu maana tayari wameshaanza kuchokonoa...
 
Usilolijua ama musilolijua nikwamba popote pale utakapoona kuna mgogoro wakitaifa ama kimataifa basi ujue US ISRAEL na UK basi wamehusika moja kwamoja ama kwanjia isio yamoja kwamoja hawa umbwa sio wakuwaamini hatta yaani

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
ni kamungu furani ivi si ka kudharau hata kidogo
Tukijifanya kukadharau "kamungu" haka itakula kwetu.

Jamaa anayo mikakati anaitekeleza kwa umakini mkubwa, huku sisi tukikenua mimeno kama kichwani hatuna akili!
 
Nasisitiza tena. Huijui serikali ya Marekani wanavyoshirikiana na vyombo binafsi vya habari.
Haya lete ushahidi wa vyombo binafsi vya habari vinashirikiana na serikali ya Marekani kumpa sifa Kagame. Kama ukiongelea vyombo vya habari kama Voice of America (VOA) ambavyo ni Marekani inatumia kusambaza propaganda duniani ningekuelewa. Lakini ukianza kusema vyombo vya binafsi kwa mfano CNN ambazo zina ajenda zao tena mara nyingi huwa zinatofautiana na ajenda za serikali ya Marekani, unaongelea mambo ya conspiracy theories tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…