Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

Tukijifanya kukadharau "kamungu" haka itakula kwetu.

Jamaa anayo mikakati anaitekeleza kwa umakini mkubwa, huku sisi tukikenua mimeno kama kichwani hatuna akili!

aka kamungu mtu nilikua nakadharau pia ila nilipokuja kusoma kitabu chake kinaitwa behind the presidential curtain, ndipo nilipoanza kukaangalia kwa jicho lingine ni atali kuliko tunavyofikilia, na tatizo ndg zetu ccm wao wanazani adui wa taifa hili ni mbowe na tundu lissu, siku akili itakapo wakaa sawa watakuwa wameshachelewa, na haka kamungu mtu kalipata nafasi zaidi baada ya jpm kuomba ma IT kutoka kwake iyo nafasi kalivyoitumia vizuri italigharimu taifa hili kwa miaka mingi sana,
 
How???
Huyo dogo haiwezi tz na anajua,
Uganda tuu haiwezi ataiweza tz???? Watu mnamasikhara humu ndani
 
How???
Huyo dogo haiwezi tz na anajua,
Uganda tuu haiwezi ataiweza tz???? Watu mnamasikhara humu ndani

mkuu haka ka mungu mtu usikachukulie poa hata kidogo jalibu kukafatilia ni noma na nusu, hakafai hata kwa bule
 
How???
Huyo dogo haiwezi tz na anajua,
Uganda tuu haiwezi ataiweza tz???? Watu mnamasikhara humu ndani

na kuhusu uganda ndo kama ipo uchi kwake kalishawahi kuwa camanda wa interejensia wa jeshi la uganda kanaijua nnje ndani, kuna kipindi kalimpiga mkwala bwana mseveni eti kanajua anachokula kila siku na mahali anapolala, tusiongee kuhusu nkulunzinza nazani sote tunajua kilicho mkuta, bila kusahau mchng mtikila huku kwetu
 
Mkuu, inaelekea unahitaji somo kamili juu ya maswala haya, nami sina muda wa kufundisha wakati huu.

Ukitaka kujielimisha kuhusu hili, zipo njia mbalimbali za kufanya hivyo, ni kiasi tu cha kuwa tayari kujifunza, kwa kufungua akili yako na kuachana na kushikilia dhana potofu inayokufanya uamini kwamba serikali ya Marekani haishirikiani na vyombo vya habari (binafsi) katika kufanya maamuzi yake mbalimbali.
 
How???
Huyo dogo haiwezi tz na anajua,
Uganda tuu haiwezi ataiweza tz???? Watu mnamasikhara humu ndani
Haya majigambo ndiyo yasiyokuwa na kichwa wala mkia.

Kwa vile tulikuwa hivyo zamani, wewe unadhani tutaendelea tu kuwa hivyo hivyo bila ya kuendelea kujenga huo uimara? Tumebaki tu sasa kujisifia mdomoni huku hatufanyi lolote.
Tueleze, ni eneo gani tunalofahamika kulifanya vizuri sana enzi hizi? Hiyo IT yenyewe tunaomba tukafundishwe na hako 'kamungu'!
 
Bosi, sasa hoja yako mwenyewe kama huna muda wa kuleta ushahidi na kuitetea unafikiri mimi nitakuwa na muda huo? Naona hujanitendea haki hapo. Mimi nina hoja zangu ambazo niko tayari kuzitetea na kutoa ushahidi. Siongelei conspiracy theories ambazo nikiombwa ushahidi au ufafanuzi wake nashindwa kutoa.
 
Aiseee, hivi kweli unataka kulikomalia hili jambo?

Unao ushahidi wa kuonyesha kwamba serikali ya Marekani haishirikiani na vyombo vya habari vya nchi hiyo katika baadhi ya maamuzi yake?

Hivi wewe unaelewa "opinion formers" au 'influencers' ni watu wa aina gani?

Huna habari kabisa kuhusu makampuni binafsi (lobbysts) yanayofanya kazi kuunda 'policies' za serikali hiyo, hujui kabisa?
Kwani unadhani haya makampuni ya biashara yanategemea habari zao toka wapi?

Huna taarifa kabisa, kwamba vinchi vyetu hivi, kama Uganda na Kenya, wameaajiri kabisa makampuni haya kuwafanyia kzai juu ya mambo ya nchi zao na serikali ya Marekani? Hata sisi enzi za Kikwete tuliwahi kuajiri 'lobbyst' atulainishie njia juu ya jambo tulilotaka kulifanya.

Wewe yote haya huyajui, na unataka ushahidi?

Angalia vita vyote anavyopeleka wanajeshi katika nchi mbalimbali, kama Iraq, na kwingineko. Tazama kampeni zinazofanyika kupitia katika vyombo vya habari vya nchi hiyo kabla na wakati wa vita, vikitumiwa na serikali, wewe hujui?

Vyombo vya habari vinavyomirikiwa na wayahudi, hujui 'influence' yake juu ya serikali ya Marekani na maamuzi yake inapowahusu taifa la Israel?
Sasa wewe unataka uambiwe nini kama siyo uvivu wa kufikiri na tabia mbaya yetu waTanzania kutotaka kujibidisha kujielimisha tusiyoyajua!
 
Kuna wale watutsi wa jf haipiti wiki lazima wamfungulie uzi wa kumsifia mungu wao,, njooni mumsafishe mungu wenu huku
 

Kama kitu hakipo ushahidi nitautoa wapi? Yaani wewe kama umeshindwa kuleta ushahidi wa kuwepo unachokisema unataka mimi nilete ushahidi kwamba hakipo i.e. proving a negative. Hapana, mzigo wa kuleta ushahidi, burden of proof upo kwako kwa sababu ndiyo umeipendekeza hiyo hoja. Kama ni kweli vyombo vya binafsi vya habari vinashirikiana na serikali ya Marekani kumpa sifa Kagame toa ushahidi kama huna ni conspiracy theories unaongea. Tena inaelekea wewe unapenda kuongea conspiracy theories maana tayari unaleta nyingine tena za kibaguzi za kusema wayahudi kumiliki vyombo vya habari ku influence serikali ya Marekani. Nikikuuliza ni vyombo vya habari gani hivyo unavyoviongelea sijui hata kama unaweza kuvitaja.
 
Mimi nina hoja zangu ambazo niko tayari kuzitetea na kutoa ushahidi. Siongelei conspiracy theories ambazo nikiombwa ushahidi au ufafanuzi wake nashindwa kutoa.
Kama kitu hakipo ushahidi nitautoa wapi? Yaani wewe kama umeshindwa kuleta ushahidi wa kuwepo unachokisema unataka mimi nilete ushahidi kwamba hakipo i.e. proving a negative.
Inawezekana najibishana na mtu mjinga ambaye ni mbishi asiyejua anachoandika.
Lakini hata kusoma na kuelewa kilichoandikwa huna uwezo huo?
 
Inawezekana najibishana na mtu mjinga ambaye ni mbishi asiyejua anachoandika.
Lakini hata kusoma na kuelewa kilichoandikwa huna uwezo huo?
Hoja zangu niko tayari kuzitetea na ushahidi kuleta.

Hoja zako zitetee mwenyewe na ushahidi wako, usianze kuniuliza mimi nitoe ushahidi kuzipinga hoja zako au kuniambia nikafanye utafiti mwenyewe. Ukifanya hivyo utaonekana tuu unaongelea conspiracy theories ambazo huna ushahidi nazo.
 
Usitulazimishe tuwe wanyarwanda siasa zenu nendeni mkamalizane naye.

Jf haitakusaidia kubeba chuki zao dhidi yake
 
Sidhani kama Kagane ni dictator, msimpake matope, jamaa ameijenga nchi yake kwa nia safi, mara nyingi ukiskia mtu anamponda Rais Kagame ujue anawivu na maendeleo ya nchi za watu, tuelekeze nguvu nyingi kudai katiba mpya kwanza jamani sawa,[emoji848]
 
Na sisi ndo tulipokuwa tunaelekea na tulikuwa tumeshafika 85% kila mmoja alikuwa amesha kuwa CCM kwa kupenda au kutokupenda
Sema Jiwe alikuwa dikteta jeuri kama Mugabe wananchi tungeanguka Sana kiuchumi na hapo angetunyoosha vizuri,ila mimi Hali ingekuwa mbali nilipanga kwenda Zambia au Angola au Uganda.
 
mabeberu ukishatimiza agenda zao hata uwe dikteta hawakugusi, we ukitaka kujua mabeberu ni konyo kataa kutumika nao uone wanavokushughulikia kisawa sawa.
Hiki ndicho Magu kilimshinda .Samia akiamua kuwaweka ndani akina Mbowe hadi 2030 watasugua wee ilimradi tuu wazungu waje kujipatia tumalighafi wala hutowasikia wakipiga kelele.
 
Nchi gani hakuna sera huria za Uchumi? Acha ujinga mkuu
 
Na huu ndio ukweli ndio waliameisha kuuwawa kwa wale Marais wakamsimika.
 
Kikwete alikuwa rafiki mzuri Sana wa mabeberu ndio maana kipindi kile mambo yalikuwa matamu.
 
Haka kajamaa kwa kushirikiana na mabeberu wanaitesa sana Congo DRC yaani ni kako kuihujumu nchi jirani ili kiwesesha wizi wa rasilimali za Congo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…