KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hoja zako ni zipi na ushahidi uko wapi?Hoja zangu niko tayari kuzitetea na ushahidi kuleta.
Hoja zako zitetee mwenyewe na ushahidi wako, usianze kuniuliza mimi nitoe ushahidi kuzipinga hoja zako au kuniambia nikafanye utafiti mwenyewe. Ukifanya hivyo utaonekana tuu unaongelea conspiracy theories ambazo huna ushahidi nazo.
"Mambo yalikuwa matamu", huku jamaa wakizoa kila walichoweza kubeba kwa bei cheee!Kikwete alikuwa rafiki mzuri Sana wa mabeberu ndio maana kipindi kile mambo yalikuwa matamu.
Acha ujinga, umesoma na kuelewa nilichoandika au umekurupuka kuandika ujinga.Nchi gani hakuna sera huria za Uchumi? Acha ujinga mkuu
Kwa mfano walibena nini kwa bei Chee? Ndio mambo yalikuwa matamu kitaa kulikuwa kumechangamka pesa ipo na maendeleo ya mtu yalikuwa kasi sana"Mambo yalikuwa matamu", huku jamaa wakizoa kila walichoweza kubeba kwa bei cheee!
Akina 'Acacia' huwakumbuki?Kwa mfano walibena nini kwa bei Chee? Ndio mambo yalikuwa matamu kitaa kulikuwa kumechangamka pesa ipo na maendeleo ya mtu yalikuwa kasi sana
Walifanya nini? Unaikimbuka Til.1.5 iliyomtoa Assad?😝😝😆😆 Au nikuongezee upigaji mwingine wa Mwendazake?Akina 'Acacia' huwakumbuki?
Utanihusishaje na habari za Mwenda zake, umeona popote nilipotetea aliyofanya?Walifanya nini? Unaikimbuka Til.1.5 iliyomtoa Assad?😝😝😆😆 Au nikuongezee upigaji mwingine wa Mwendazake?
Lete ushahidi kwanza unaoonyesha vyombo vya habari binafsi vinashirikiana na serikali ya Marekani kumpa sifa Kagame.Hoja zako ni zipi na ushahidi uko wapi?
Inabidi nikushike mkono na masikio kiasi hiki, maanake naona wewe ni mgumu sana wa kuelewa!
Kuna mtu nyuma yake!!Kuna kipindi alimtukana Kikwete.
Unakuwa kilaza sasa. Rudi nyuma nilipoku'quote' kama hoja ilikuwa ni 'specific' kwa Kagame ambako naona sasa unakimbilia huko ukidhani utapata nafuu.Lete ushahidi kwanza unaoonyesha vyombo vya habari binafsi vinashirikiana na serikali ya Marekani kumpa sifa Kagame.
Haya lete ushahidi unaoonyesha vyombo vya habari binafsi vinashirikiana na serikali ya Marekani. Kumbuka pia huu uzi unamuhusu Kagame kwa hiyo ushahidi wowote utakaoleta lazima tuujadili kufuatana na huu uzi wa Kagame.Unakuwa kilaza sasa. Rudi nyuma nilipoku'quote' kama hoja ilikuwa ni 'specific' kwa Kagame ambako naona sasa unakimbilia huko ukidhani utapata nafuu.
Hivi unazo akili timamu wewe? Mifano niliyokupa hapo juu kuhusu 'thinktanks, lobbyists, analysts, opinion formers' juu ya uhusika wao bado huielewi ninachoeleza. Unataka mifano ya namna gani?Haya lete ushahidi unaoonyesha vyombo vya habari binafsi vinashirikiana na serikali ya Marekani. Kumbuka pia huu uzi unamuhusu Kagame kwa hiyo ushahidi wowote utakaoleta lazima tuujadili kufuatana na huu uzi wa Kagame.
Rubbish!Hivi unazo akili timamu wewe? Mifano niliyokupa hapo juu kuhusu 'thinktanks, lobbyists, analysts, opinion formers' juu ya uhusika wao bado huielewi ninachoeleza. Unataka mifano ya namna gani?
Wewe unadhani Rwanda na ufinyo wa kainchi kadogo vile, anakaribisha wakimbizi kwa kuwa kainchi hako kana huruma sana na binaadam wanaopata matatizo nchini mwao? Wakimbizi wa Afghanistan wanakwenda kutafuta nini Rwanda? Rwanda ina kitu gani cha kuifanya iwe na ukarimu huo kama siyo mipango ya wakubwa wa dunia hii kukatumia kainchi hako kwa maslahi yao.
Sasa inaonyesha unaboa, kwa sababu huna lolote unalojua kuhusu mambo haya. 'In fact'nimetumia muda mwingi na wewe kuliko nilivyotegemea!
Unazidi kuonyesha ukilaza mkubwa niliojua unakusumbua toka mwanzo.Rubbish!
Lobbyists wanaoenda ku lobby wanasiasa, wanahusika vipi na vitu vinavyotangazwa na vyombo vya habari binafsi? Sifa anazopewa Kagame na vyombo vya habari binafsi zinahusika vipi na hao 'thinktanks, lobbyists, analysts, opinion formers' uliowasema. Hebu fafanua.
Rwanda imewachukua 250 Afghan schoolgirls in transit kwenda Ulaya au Marekani wewe tayari unaona kuna conspiracy fulani. Na hao Iran waliochukua zaidi ya milioni ya wakimbizi wa Afghanistan inamaanisha Ayatollah Khamenei naye anafugwa na Marekani? Wee jamaa ni mtu wa kuamini sana conspiracy theories ambazo zinaonyesha uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo ulivyo mdogo.
Vipimo vya rais kupendwa na Marekani ni vipi? Kama ni sifa tuu kwenye vyombo vya habari labda ufafanue ni vyombo vipi maana vingi ni vya binafsi siyo vya serikali. Kama ni vyombo vya habari binafsi vinampa sifa hiyo siyo Marekani rasmi. Hivyo vyombo vya habari binafsi vina ajenda zao ambazo zinaweza kuwa tofauti na sera za Marekani. Kama vipimo ni ushirikiano baina ya nchi, hata sisi tunao ushirikiano mzuri tuu na Marekani. Haina maana Marekani inailinda serikali ya CCM kwa sababu Tanzania na Marekani wana ushirikiano.
Wewe unayejua hebu lete ushahidi wa hayo uliyoandikaMkuu hujui namna marekani inavoendeshwa tulia!!...
Marekani inaendeshwa kupitia taasisi binafsi serikali inakua na mkono kwene hizo taasis
Wanaotengeneza siraha n makampuni binafs na wanaingia makubaliano na serikali
Media n binafsi lakin znaendesha malengo ya serikali
Kuna mgawanyiko kat ya media zilizoshikwa na republican n democratic