Paul Kagame: Hakuna wa kunipa maelekezo, wanaodhani wana nguvu juu yangu hiyo haiwezekani. Sipendi uchokozi

Paul Kagame: Hakuna wa kunipa maelekezo, wanaodhani wana nguvu juu yangu hiyo haiwezekani. Sipendi uchokozi

Haka kajamaa wakaue tu,kanajiona so special sana.
Kanasema Wakati Rwanda ilipokuwa kwenye machafuko hakuna international yoyote aliyeenda kuwasaidia.

Sasa wanaweza kujilinda atakaye jaribu tu.........hiiiiiiiii!!
 
Kajinga haka. Kapuuzi kabisa.
Hivi Madam President hawezi kutuma a squad of 6 to 12 commandos wakamtokea usiku ndani ya choo chake anachojisaidia wakamwambia afunge mdomo au wammalize. Na wamkate kipande cha sikio kama kumbukumbu.

Kila saa kanajifanya kukumbuka juzi 1994. Hakajui historia au kanaona historia ya Wilaya ya Rwanda ambayo hata hivyo imepindishwa maana na wahutu walikufa wengi mno ndio ya muhimu.

Anajua mkaburu alivyotesa na kuua south Africa?. Vipi hapo Zimbabwe, Namibia????? Hapo Congo DRC King Leopold of Belgium alikuwa anaua at will....... Kuna the massacre of Nama and Herero..... Vipi MauMau hapo Kenya.

Ndio wameteseka lakini asijifanye ni wao tu wamepitia madhila makubwa.
Kagame ameifanya Rwanda kuwa strong na tishio hawa Africa. Huyu mwamba hata marais wenzake wa Afrika wanamgwaya sana.
Ana akili nyingi sana na ametengeneza jeshi lenye nguvu pengine kuliko jeshi lolote ukanda huu wa Afrika.
Afrika wanatawaliwa na chuki na wivu kwa hatua anazopiga huyu bwana.
 
Possibly
 
Hamna kitu. Tz tumenyamaza. Yeye kutwa kucha kuongea na kujionyesha.

Sema Mama Samia mpole na Mkuu wa majeshi nae naona mpole hivi.

Ilitakiwa Kagame apigwe counter attack moja makini sana. Sana yaani wakirudi nyuma wakivuka mpaka wakifanya kosa wakaingia Rwanda unaingia nao na ndio mwendo hadi Kigali.

JWTZ jeshi langu Sina mashaka kabisa... Miaka mia Moja, nalala usingizi safi kabisa. Jeshi letu ni Bora sana na limewafunza wengi wengi kusini na mashariki mwa Africa. So kagame mpuuzi mmoja TU.
 
Sijui kwanini hatokei mtu amshikishe adabu Kagame

Ni vile kakuta watu ni wastaarabu tu ila hawamuogopi na kiuhalisia Kagame hana nguvu kama watu wanavyodhani
Saadam Hussein and Col Gaddafi hawapo juu ya ardhi... Paulo baada ya miaka 3 hatakuwepo juu ya ardhi... Life Goes ON
 
Tutolee ujinga hapa Tz sio nchi ya udikteta nchi kuongozwa na mtu mmoja for years Tz ni kitovu cha AMANI na USTAARABU.

Tz ni nchi yenye huruma na isiyo na tamaa tumeridhika na kile nature imetupa.

Kijana hizo aerial photograph za Kigali zisikuweushe hao ni maskini kama maskini wengine wa Africa.Wanachotuzidi sisi ni nchi yao inaendeshwa kijeshi.
Tatizo mmekomalia kuchezea komasava ya diamond Hadi kuwafanya msijue kuwa Nchi yenu inaharibiwa na mchwa wa ccm
 
Back
Top Bottom