Paul Kagame: Hakuna wa kunipa maelekezo, wanaodhani wana nguvu juu yangu hiyo haiwezekani. Sipendi uchokozi

Paul Kagame: Hakuna wa kunipa maelekezo, wanaodhani wana nguvu juu yangu hiyo haiwezekani. Sipendi uchokozi

Swali muhimu ni je Rwanda kuna strong system au hakuna? Anayo succession plan labda watu wa kwenye inner circle yake wanaifahamu au akifa ataacha vacuum na mtifuano utaanzia hapo?
Hakuna strong system inayotengenezwa kwa kushikilia nyufa zilizowaangusha waliopita.. Nadhani Nyerere alijitahidi kutengeneza utaifa maana kama angeziacha classes zilizokuwepo kipindi cha uhuru.

Sidhani kama kungekalika na ninadhani hicho ndicho Kagame alitakiwa kukifanya
 
Umesahau Unguja na Pemba inavyosumbua Tanganyika. Siasa haina formula mkuu.
Ukifuatilia mgawanyo wa mipaka historia, usishangae Zanzibar ikachukua miles kumi za pwani yote ya Africa Mashariki.

Kwa hiyo ni history tu mkuu japo politics zinachangia pia
 
Ukifuatilia mgawanyo wa mipaka historia, usishangae Zanzibar ikachukua miles kumi za pwani yote ya Africa Mashariki.

Kwa hiyo ni history tu mkuu japo politics zinachangia pia
Umenena vyema.
 
Kinachonitisha sio kuanguka kwa Kagame Ila Rwanda itaendeleaje ikiwa tension baina ya watusi na wahutu haijaisha. Na Kagame ni kama uzi mwembamba sana ulioshikilia Rwanda.. Sijui huo uzi ukikatika patakalika kama hakuna strong system
Kagame ana miaka 67, anaweza kuitawala Rwanda kwa miaka 10 zaidi akiwa na nguvu, ana muda wa kujipanga na kurekebisha makosa pia kama hiyo tension ni uhalisia.
 
Maslahi ya nchi yake mkuu kwa ku destabilise nchi nyingine?

Labda nikuulize kitu mkuu, unahisi Kagame ana maslahi na M23 au hana?
wazungu ndo wanachezesha kete zote hapa hata kagame hamna kitu anapata nikuchonganishwa tunachonganishwa tu
 
Kagame ana miaka 67, anaweza kuitawala Rwanda kwa miaka 10 zaidi akiwa na nguvu, ana muda wa kujipanga na kurekebisha makosa pia kama ni hiyo tension ni uhalisia.
Uko sahihi, he still look younger
 
Maslahi ya nchi yake mkuu kwa ku destabilise nchi nyingine?

Labda nikuulize kitu mkuu, unahisi Kagame ana maslahi na M23 au hana?
Kwa maelezo yake hana. Na utakuja kugundua watu wanamuogopa.

Wanaishia tu kusema maneno matupu kwamba M23 ni wa Kagame.

Kwenye hiyo hotuba amesema let people use their Research and Intelligence to prove him wrong.
Anadai yeye M23 ni Wacongo.

Kwanini hakuna anayejitokeza kusema ukweli? Mfano ukanda huu wa maziwa makuu kuna mtu kajitokeza kuprove haya madai ya 23? Kila mtu anakula kona
 
Alikuwa rafiki yake PK, kuna mengi sana aliiga kutoka huko.
Safari yake ya kwanza kwenda Nje ya Nchi akiwa Rais alienda Rwanda, Rais Rafiki wake wa kwanza kumtembelea Ikulu alikuqa Joseph Kabila jr.

Waswahili wanasema ukitaka kujua tabia ya mtu tazama marafiki zake.
 
T
Siyo kwamba hataki kuaachia madaraka Bali wananchi zaidi ya 90%wanataka aendelee kiutawala.Tungepata kiongozi kama kagame,Tanzania yetu ingeng'ara kama nchi za wenzetu vinavyong'ara.Siyo ule upuuzi wa kuuza maliasili Hivyo
Tanzania tunang'ara mkuu, kila nchi ina changamoto zake. Hata Ulaya na America wanazo. Ila kama unaona Prezdaa PK is everything to u hamia huko. Kwanin usitaman Wanyarwanda wangepata prezdaa kama Samia??
 
Hahaha
 
Nasikia aliingizwa king akaacha kiherehere chake cha kujipendekeza kwa watu asiowajua,yeye alifikiri anamkomoa Kikwete kwa kufanya urafiki na adui yake.
Mimi ilibid nifunge nakuomba kuusambaratisha urafki wao. Coz niljua rais wetu hana utulivu wa kuchanganua mbivu na mbichi incase, maana pale ilkuwa wakat wa kuprocess plan B ya I WILL HIT WHERE IT PAIN.
 
Back
Top Bottom