Paul Kagame: Hakuna wa kunipa maelekezo, wanaodhani wana nguvu juu yangu hiyo haiwezekani. Sipendi uchokozi

Ni kawaida kwa dikteta kufanya anavyotaka na ikiwa huyo dikteta ni kibaraka wa mataifa makubwa huwezi sikia akilaumiwa juu ya masuala ya demokrasia, haki za binadamu na utawala bora.
 
Hotuba hii ambavyo iko live sasa haijulikani ni ya lini hasa lakini ni ya hivi karibuni. Akiongea na Waandishi wa habari wa kitaifa na kimataifa.

For protection of our small Nation i do not need some body's permision, i have said it and i am saying on Day broadlight.

If anybody attemps.....aah!

Generali Kagame anasema who is the incharge of This Worls, does what?

Kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari anadai Rwanda haihawahi kamwe kujihusisha na uanzishwaji wa migogoro ndani ya Congo, ingawa kwa muda mrefu watu wamekuwa wakiifanya vita hii kama matatizo ya Rwanda.

Rais huyu Mtabe wa Rwanda anadai kuwa ameshutumiwa kuwa Cruel, Tyrant and Blood Thirsty, anasema hakuna anayeweza kuwa mbaya kiasi hiki na hakuna namna ya kujificha. Na kama ningekuwa mtu wa namna hiyo kama watu wanavyosema badi ningepoteza mvuto kwa watu na hata kwa jamii za kimataifa.

Kama kuna mtu anaweza kuturudisha kwenye nyakati za miaka 30 iliyopita, then we have nothing to loose, we will fight like people have nothing to loose, and some body will pay the price other than ourselves.

" Ntimutinye ibhitumbalaye" akiwapa moyo watu wa Taifa lake. Sijafahamu maana ya msemo huu.

Hut We do not provoke any situation and actually we have been ignoring who provoke us from south, East and West as long as they has not crossed a certain line.

RL unfurl="true" media="youtube:kbiXG_D4SF0"]
View: https://www.youtube.com/live/kbiXG_D4SF0?si=M-YLrPb3eG9K2JW2[/URL]

Kajinga haka. Kapuuzi kabisa.
Hivi Madam President hawezi kutuma a squad of 6 to 12 commandos wakamtokea usiku ndani ya choo chake anachojisaidia wakamwambia afunge mdomo au wammalize. Na wamkate kipande cha sikio kama kumbukumbu.

Kila saa kanajifanya kukumbuka juzi 1994. Hakajui historia au kanaona historia ya Wilaya ya Rwanda ambayo hata hivyo imepindishwa maana na wahutu walikufa wengi mno ndio ya muhimu.

Anajua mkaburu alivyotesa na kuua south Africa?. Vipi hapo Zimbabwe, Namibia????? Hapo Congo DRC King Leopold of Belgium alikuwa anaua at will....... Kuna the massacre of Nama and Herero..... Vipi MauMau hapo Kenya.

Ndio wameteseka lakini asijifanye ni wao tu wamepitia madhila makubwa.
 
Safi sana mzalendo kagame.kila kukicha wanakusingizia kuwa imesababisha vita congo kitu ambacho ni uongo.Atakayekuchokoza mshughulikie.Sisi kama watanzania wazalendo tunakuunga mkono kuijenga Nchi Yako
 
Hotuba hii ambavyo iko live sasa haijulikani ni ya lini hasa lakini ni ya hivi karibuni. Akiongea na Waandishi wa habari wa kitaifa na kimataifa.

For protection of our small Nation i do not need some body's permision, i have said it and i am saying on Day broadlight.

If anybody attemps.....aah!

Generali Kagame anasema who is the incharge of This Worls, does what?

Kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari anadai Rwanda haihawahi kamwe kujihusisha na uanzishwaji wa migogoro ndani ya Congo, ingawa kwa muda mrefu watu wamekuwa wakiifanya vita hii kama matatizo ya Rwanda.

Rais huyu Mtabe wa Rwanda anadai kuwa ameshutumiwa kuwa Cruel, Tyrant and Blood Thirsty, anasema hakuna anayeweza kuwa mbaya kiasi hiki na hakuna namna ya kujificha. Na kama ningekuwa mtu wa namna hiyo kama watu wanavyosema badi ningepoteza mvuto kwa watu na hata kwa jamii za kimataifa.

Kama kuna mtu anaweza kuturudisha kwenye nyakati za miaka 30 iliyopita, then we have nothing to loose, we will fight like people have nothing to loose, and some body will pay the price other than ourselves.

" Ntimutinye ibhitumbalaye" akiwapa moyo watu wa Taifa lake. Sijafahamu maana ya msemo huu.

Hut We do not provoke any situation and actually we have been ignoring who provoke us from south, East and West as long as they has not crossed a certain line.

RL unfurl="true" media="youtube:kbiXG_D4SF0"]
View: https://www.youtube.com/live/kbiXG_D4SF0?si=M-YLrPb3eG9K2JW2[/URL]

Jiandaeni soon mnarudishwa kwenu Rwanda.
 
Kwa alichosema ni sahihi kabisa! Naona ni longterm mission ya kumwondoa madarakani!
Hata hivyo tukubali anaipambania Rwanda vya kutosha! Ameitoa Rwanda mbali,kutoka kwenye Genocide mpaka hapo ilipo.
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake!
30 years bado chochote kikiongelewa anakimbilia genocidegenocide maana ndio imekuwa point yake ya kuhalalisha chochote anachokisema
 
Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.
huyu ameanza kujisahau,,,,ndo shida ya POWER inakufanya ujione unaakili kuliko🤗🤗🤗

Ngoja mabeberu waseme enough is enough uone atakavyosakamwa kwenye big medias huko duniani ndio atajua hajui alafu wale waasi wa Rwanda waliokimbilia Congo ndo watamtoa hapo chigali😀😀😀😀
 
30 years bado chochote kikiongelewa anakimbilia genocidegenocide maana ndio imekuwa point yake ya kuhalalisha chochote anachokisema
huyu jamaa anawashika wajinga wajinga ambao wanafall kwenye hizo PROPAGANDA ZAKE.

ANAKWAMBIA KAMA YEYE MBAYA MBONA WEST WANAMPA SUPPORT🤣🤣🤣🤣HUYU AJUI KAMA ANATUMIKA KAMA TOILET PAPER ANAJIONA YEYE SPECIAL😇
 
huyu ameanza kujisahau,,,,ndo shida ya POWER inakufanya ujione unaakili kuliko🤗🤗🤗

Ngoja mabeberu waseme enough is enough uone atakavyosakamwa kwenye big medias huko duniani ndio atajua hajui alafu wale waasi wa Rwanda waliokimbilia Congo ndo watamtoa hapo chigali😀😀😀😀
Binadamu huwa wana hulka ya kujisahau sana.

Mtu kama Ghadaffi au Sadam kwa jinsi walivyokuwa hakuna mtu aliwahi kufikiri wangekuwa na mwisho huo.

Binadamu tunatakiwa kuwa humble sana tunapokuwa na mafanikio.
 
Safi sana mzalendo kagame.kila kukicha wanakusingizia kuwa imesababisha vita congo kitu ambacho ni uongo.Atakayekuchokoza mshughulikie.Sisi kama watanzania wazalendo tunakuunga mkono kuijenga Nchi Yako
Kama sio dikteta mbona hataki kutoka madarakani,anahofia nini???
 
Binadamu huwa wana hulka ya kujisahau sana.

Mtu kama Ghadaffi au Sadam kwa jinsi walivyokuwa hakuna mtu aliwahi kufikiri wangekuwa na mwisho huo.

Binadamu tunatakiwa kuwa humble sana tunapokuwa na mafanikio.
Huyu anajitekenya na kucheka mwenyewe na wafuasi wake ambao hawana akili MAZOMBIE ndo wanaelewa utopolo wake.
 
Ukiona jambo hulielewi ujue halikuhusu hizi mada zimekuwa nyingi, acheni warundi wameelewa na kulibeba hili jambo nginja nginja hapa cha kusubiri ni breaking news.
 
Kama sio dikteta mbona hataki kutoka madarakani,anahofia nini???
Siyo kwamba hataki kuaachia madaraka Bali wananchi zaidi ya 90%wanataka aendelee kiutawala.Tungepata kiongozi kama kagame,Tanzania yetu ingeng'ara kama nchi za wenzetu vinavyong'ara.Siyo ule upuuzi wa kuuza maliasili Hivyo
Kama sio dikteta mbona hataki kutoka madarakani,anahofia nini???
 
huyu jamaa anawashika wajinga wajinga ambao wanafall kwenye hizo PROPAGANDA ZAKE.

ANAKWAMBIA KAMA YEYE MBAYA MBONA WEST WANAMPA SUPPORT🤣🤣🤣🤣HUYU AJUI KAMA ANATUMIKA KAMA TOILET PAPER ANAJIONA YEYE SPECIAL😇
Kutumika kama toilet paper ni kawaida mkuu inategemea unatumika vipi, wapi na nani. If not him someone else atatumika. Hizi kelele zinazopigwa humu kuhusu kagema huwezi kukuta wanapigiwa hao waliopandikiza plants huko DR Kuiba hicho wanachoiba na wala huwezi kumsikia huyo Tishekedi akiwatia mdomoni, hayo madini destinations yake ni wapi? Na kwa vile mzungu anajua kutengeneza shot lazima this time mtu aliwe kichwa. Siku zote ukitokea mtifuano kukiwa na race na mweusi akawepo mweusi atamchagua mweusi mwenzie kuwa mwenye hatia.
 
Back
Top Bottom