al-baajun
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 283
- 209
- Thread starter
- #21
Mkuu, kwanza kabisa, kusema eti “Watutsi hawawezi kuwa reasonable beings” ni ushenzi wa hali ya juu. Huwezi ku-generalize watu wote kwa matendo ya viongozi wao. That’s like saying “all Tanzanians are corrupt” just because kuna mafisadi wachache wanakula nchi. Kila jamii ina watu wazuri na wabaya, na historia imetufundisha that power doesn’t belong to any one tribe, it belongs to those who can take it and keep it.Kagame ataitaja WESTPOINT kama sehemu yake ya mafunzo na siyo MOROGORO. Hili la kusoma Tanzania na kusaidiwa na Tanzania hadi kushika nchi ni moja kati ya mambo ambayo Kagame anatamani kuyafuta kabisa kwenye Resume yake lakini ndiyo ishatokea.
Kagame hana heshima yoyote kwa Tanzania, ndiyo maana miaka ya 90 alifanya jaribio la kuua wanajeshi wa Tanzania nchini Zaire lakini ikashindikana. Akaenda mbali zaidi kushauriana na Mtutsi mwenzake wa Burundi, Pierre Buyoya kuingiza vikosi nchini Tanzania na kushambulia wakisingizia kwamba kambi za Wahutu zinatoa mafunzo kwa wauaji, nalo likashindikana pia.
Akakaa na kinyongo cha muda mrefu cha kutishiwa na kina Mkapa, akaja kumtolea uvivu Jakaya Kikwete na kutishia kwamba angeidhuru Tanzania. Kiufupi, hatua ambayo wanyarwanda hasahasa watutsi wameifikia kipindi hiki, sidhani kama wanaweza kurudi na kuwa wa REASONABLE BEINGS mpaka madharu fulani yawakute na kuwakumbusha kwa wao ni binadamu kama wengine.
WASWAHILI tunasema hivi, NGOMA IKIVUMA SANA kinachofuata ni kupasuka. Kabla ya Paul Kagame alikuwepo Mobutu na Jonas Savimbi, lakini leo hii kiko wapi ???
Now, let’s talk leadership. Watu wengi wanaamini eti democracy is the best system, lakini ukweli ni kwamba not everyone is born to lead. Kuna watu wana akili ya biashara, kuna watu wana akili ya tech, na kuna watu wamezaliwa kuwa bora kwenye leadership. Ndio maana hadi leo bado kuna mfalme wa Uingereza, Sultan wa Oman, na Mfalme wa Saudi. Watu wengine huzaliwa na vipaji vya uongozi, hata kama mfumo wa kidemokrasia unajaribu kupinga dhana hiyo.
Demokrasia nayo ina mapungufu. Watu wanapopewa uhuru wa kuchagua kiongozi, mara nyingi wanachagua kwa hisia badala ya hekima. Wanasiasa hodari wanajua kucheza na hisia za watu, wakitumia propaganda kuwadanganya. Matokeo yake ni kwamba tunaweza kupata viongozi wabaya kwa sababu mfumo wa kura hauangalii hekima ya mgombea bali umaarufu wake. “The masses are too emotional to elect good leaders.” Plato
Halafu bro, another thing life sio fair. Kuna watu wanaingia kwenye power kwa connections, wengine kwa hard work, wengine kwa bahati, na wengine kwa kuwa wanajua kucheza mchezo. Ndiyo maana kwenye nchi kama Rwanda, Kagame aliingia kwenye game akiwa sharp upstairs, akajua kucheza siasa za Afrika, akajenga connections, na leo yuko hapo alipo. Whether watu wanampenda au hawampendi, the guy knows how to rule.
Na hii sio Rwanda tu, hata hapa kwetu Tanzania kuna watu wameweza kushika madaraka kwa sababu ya networks, ujanja, na ability ya kuwa na vision. Kama huwezi kuona mbele, utapotea tu. Ndio maana ukiangalia world politics, viongozi wenye charisma, ambition, na ruthless strategy ndio wanao survive.
At the end of the day, watu hawajali kama nchi inaendeshwa na dictator, mfalme, au rais wa kidemokrasia, as long as kuna peace na pesa inaingia mfukoni. People want security, food, education, and opportunities. Ndiyo maana hata kama China sio democratic, wananchi wake wanaendelea kuishi fresh kwa sababu uchumi unapaa.
So, instead ya watu kutumia energy kushambulia Watutsi wote just because of Kagame, tujifunze from history. Uongozi sio swala la kabila, ni swala la ability, vision, na power dynamics. Kama mtu anaweza ku-maintain stability, anaweza kucheza world politics vizuri, basi he will stay in power. Kama akikosea, history will take care of him. That’s how the world works. Ngoma ikivuma sana, mwisho wake ni kupasuka – hiyo ni nature ya power.