Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!!
Ni rais pekee kutoka eneo la Afrika mashariki ambaye kijasusi tunamuita HIGH PROFILE MISSION ana uwezo mkubwa sana katika intelejensia na hii imekuwa silaha yake kubwa, na ndio maana hata kwenye vita vya Uganda na Tanzania, Kagame ndiye aliyepewa dhamana ya kuongoza intelejensia vita kwa upande wa Tanzania (rejea kikao cha moshi conference )
Intelejensia ya Kagame ni nguzo muhimu sana kwake nyie mnaweza kuona Rwanda ni ndogo sana kijografia lakini ni kubwa sana kiintelehensia na nguvu kubwa na muhimu ya jeshi lolote imara duniani ni intelejensia, kwenye hili la intelejensia sitaki kutoa mifano mingi sana ila itoshe kusema Intelejensia ya Rwanda ni kubwa sana na nchi karibu zote za Afrika mashariki na kusini mwa Afrika wanalijua hilo
Huyu Kagame amepikwa hapo Monduli Arusha katika chuo cha kijeshi alafu akapelekwa Morogoro katika eneo la kimkakati na kufuliwa vyema hivyo analijua jeshi kweli kweli mpaka kuwa katika level ya high profile mission sio jambo dogo
Kagame pia anapata faida kubwa ya kuwa Rais pekee wa Afrika mashariki aliyeishi na kukulia maeneo mengi ya kanda hiyo kuliko Rais mwingine yeyote, Kagame ameishi Tanzania, Uganda, Burundi, Congo, hii inambeba pia kiintelehensia, Kagame ni mtu hatari sana hilo matejoo tunakiri wazi kabisa!!