imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wewe Mwarabu huwezi kuhoji uraia wangu mimi Mwafrika rudi kwenu Yemen ukafe njaa.Wewe na nani?
Wewe siyo Mtanzania. Wewe ni Mrwanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Mwarabu huwezi kuhoji uraia wangu mimi Mwafrika rudi kwenu Yemen ukafe njaa.Wewe na nani?
Wewe siyo Mtanzania. Wewe ni Mrwanda.
Nenda kawaguse utaona wana drones ngapi
ova,ovaNjia ya kumkomesha ni ndogo!
Unatimua wakimbizi wao hapa na kuwaondoa kuwapeleka kwao angalia yowe watakalopiga.
Hii njia Kikwete aliitumia.
Hana lolote msimpe sifa ambazo hastahili yeye atawamudu wananchi wake huko RwandaPaul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!!
Ni rais pekee kutoka eneo la Afrika mashariki ambaye kijasusi tunamuita HIGH PROFILE MISSION ana uwezo mkubwa sana katika intelejensia na hii imekuwa silaha yake kubwa, na ndio maana hata kwenye vita vya Uganda na Tanzania, Kagame ndiye aliyepewa dhamana ya kuongoza intelejensia vita kwa upande wa Tanzania (rejea kikao cha moshi conference )
Intelejensia ya Kagame ni nguzo muhimu sana kwake nyie mnaweza kuona Rwanda ni ndogo sana kijografia lakini ni kubwa sana kiintelehensia na nguvu kubwa na muhimu ya jeshi lolote imara duniani ni intelejensia, kwenye hili la intelejensia sitaki kutoa mifano mingi sana ila itoshe kusema Intelejensia ya Rwanda ni kubwa sana na nchi karibu zote za Afrika mashariki na kusini mwa Afrika wanalijua hilo
Huyu Kagame amepikwa hapo Monduli Arusha katika chuo cha kijeshi alafu akapelekwa Morogoro katika eneo la kimkakati na kufuliwa vyema hivyo analijua jeshi kweli kweli mpaka kuwa katika level ya high profile mission sio jambo dogo
Kagame pia anapata faida kubwa ya kuwa Rais pekee wa Afrika mashariki aliyeishi na kukulia maeneo mengi ya kanda hiyo kuliko Rais mwingine yeyote, Kagame ameishi Tanzania, Uganda, Burundi, Congo, hii inambeba pia kiintelehensia, Kagame ni mtu hatari sana hilo matejoo tunakiri wazi kabisa!!
Ukiachana na maswala ya congo Kuna vita gani ya maana aliyopigana ndani ya Africa mashariki akashinda?Naona wengi mnaibeza eti Kwa kusema ardhi Yao ndogo mala population yao watu ni 14m nawaambia siku mkiigusa hiyo nchi Kwa ubora wa jeshi lake mtaaibika vibaya sana msiishi Kwa historia uzuri kagame kashasema anayetaka vita Naye ajaribu zone moto wake huyu ni netanyahu wa Africa maana mataifa yote ya Africa yanamuogopa vibaya sana
Wewe ruka ruka ila wewe si mtanzania.Wewe Mwarabu huwezi kuhoji uraia wangu mimi Mwafrika rudi kwenu Yemen ukafe njaa.
Wewe Mwarabu una utanzania gani hadi kuhoji uraia wangu.Wewe ruka ruka ila wewe si mtanzania.
Sasa Sheikh imhotepWewe Mwarabu una utanzania gani hadi kuhoji uraia wangu.
Mimi ni Mwafrika katika Bara langu.
Nimeshakwambia na hutaki kunielewa kwamba sio Watutsi wote ni Wanyarwanda.Unapata ugumu gani kusema kuwa una asili ya Rwanda ndugu yangu?
Situmii bia!Nimeshakwambia na hutaki kunielewa kwamba sio Watutsi wote ni Wanyarwanda.
Karimu Amstel Beer sheikh. Ijumaa njema.
Hutumii bia au hutumii Alcohol? Kuna Amstel Beer 0% shehe karibu.Situmii bia!
Na tunapoelekea utanikaribisha miraa!
Aliyekuuzia bangi mwambie apunguze vichanganyioHuyu jamaa ni mbabe wa vita katika nchi za Africa mashariki hamna jeshi la kumpiga yaani nchi yake ni kama Israel jamaa anaogopeka sana kawafyeka wanajeshi wa nchi mbalimbali pale Kongo na kashikilia goma umekua mkoa wa rwanda yaani anatisha huwezi kuwa na kiongozi mwanamke na kupasua matofali utarajie kumpiga kagame ni ndoto
sio kweli, mfano jeshi la tanzania au kenya kagame anapigwa vizuri tu..sema sasa shida akishapigwa ule ukanda wote unachafuka wahutu na watusi wanarudi kuchinjana upya..hapo ndo sehem ambapo tunaogopa.. damu itamwagika sana yani. waache washikabne mashati wenyewe kwa wenyewe ili wasipate wa kumnyooshea kidole.. maana pale rwanda kunuka lazima patanuka ni suala la muda tuuHuyu jamaa ni mbabe wa vita katika nchi za Africa mashariki hamna jeshi la kumpiga yaani nchi yake ni kama Israel jamaa anaogopeka sana kawafyeka wanajeshi wa nchi mbalimbali pale Kongo na kashikilia goma umekua mkoa wa rwanda yaani anatisha huwezi kuwa na kiongozi mwanamke na kupasua matofali utarajie kumpiga kagame ni ndoto
Tanzania inahitaji wiki kuiteka Rwanda. Kagame anajificha nyuma ya M23 tena kwa msaada wa mabeberu kufanya uhalifu hapo Congo, hana cha zaidi. Kwa East Afrika labda amsumbue Burundi, nayo hakuna uhakika wa ushindi.Naona wengi mnaibeza eti Kwa kusema ardhi Yao ndogo mala population yao watu ni 14m nawaambia siku mkiigusa hiyo nchi Kwa ubora wa jeshi lake mtaaibika vibaya sana msiishi Kwa historia uzuri kagame kashasema anayetaka vita Naye ajaribu zone moto wake huyu ni netanyahu wa Africa maana mataifa yote ya Africa yanamuogopa vibaya sana
Endelea kuotaTanzania inahitaji wiki kuiteka Rwanda. Kagame anajificha nyuma ya M23 tena kwa msaada wa mabeberu kufanya uhalifu hapo Congo, hana cha zaidi. Kwa East Afrika labda amsumbue Burundi, nayo hakuna uhakika wa ushindi.
Na hasa hasa mama akiwepo,..ila mama akiondoka inabidi achunge maneno na utundu wake....Last Born akiongea Sana sio kwamba Wakubwa zake hawawezi kumkomg'ota. Ni last born hivyo mwache ajitutumue