Paul Kagame ndiye Rais mwenye Intelejensia Kali kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki

Huyu jamaa ni mbabe wa vita katika nchi za Africa mashariki hamna jeshi la kumpiga yaani nchi yake ni kama Israel jamaa anaogopeka sana kawafyeka wanajeshi wa nchi mbalimbali pale Kongo na kashikilia goma umekua mkoa wa rwanda yaani anatisha huwezi kuwa na kiongozi mwanamke na kupasua matofali utarajie kumpiga kagame ni ndoto
Kuna watu wanaongea kishabiki hawamjui Kagame ndiye aliyemsaidia kuingia madarakani Museveni 1986 na Mzee Kabila 1997..
 
Wanyarwanda mmejaa kwelikweli kila dakika ni nyuzi za kumsifu Kagame na Rwanda utadhani basi kinachosifiwa ni dubwasha kubwa kumbe vidude tu ambavyo watu wakiamua hata siku haiishi panakuwa historia
Ndo ujie kama jf wamo ujue na kwingine wamo. Wakati tunaji mwambafy kuwa dk chache zinatosha kummaliza huku mitandaoni.. Wenyewe wamafanya kweli kujipenyeza kwenye mifumo.
 
Labda kwa mamluki kama wew, endelea kusambaza propaganda zawoga, huo ni uraia wa daraja la usaliti na ukosefu wa uzalendo
Naona wengi mnaibeza eti Kwa kusema ardhi Yao ndogo mala population yao watu ni 14m nawaambia siku mkiigusa hiyo nchi Kwa ubora wa jeshi lake mtaaibika vibaya sana msiishi Kwa historia uzuri kagame kashasema anayetaka vita Naye ajaribu zone moto wake huyu ni netanyahu wa Africa maana mataifa yote ya Africa yanamuogopa vibaya sana
 
Huyu jamaa ni mbabe wa vita katika nchi za Africa mashariki hamna jeshi la kumpiga yaani nchi yake ni kama Israel jamaa anaogopeka sana kawafyeka wanajeshi wa nchi mbalimbali pale Kongo na kashikilia goma umekua mkoa wa rwanda yaani anatisha huwezi kuwa na kiongozi mwanamke na kupasua matofali utarajie kumpiga kagame ni ndoto
Nyie wanyarwanda soon tutaanza kuwafukuza Tanzania kwa sababu hamjitambui sasa hapa umeongea ujinga gani?
 
Siku tz ikipigana na Rwanda nitakutolea maisha yangu kwa taifa langu
 
Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!!

Ni rais pekee kutoka eneo la Afrika mashariki ambaye kijasusi tunamuita HIGH PROFILE MISSION ana uwezo mkubwa sana katika intelejensia na hii imekuwa silaha yake kubwa, na ndio maana hata kwenye vita vya Uganda na Tanzania, Kagame ndiye aliyepewa dhamana ya kuongoza intelejensia vita kwa upande wa Tanzania (rejea kikao cha moshi conference )

Intelejensia ya Kagame ni nguzo muhimu sana kwake nyie mnaweza kuona Rwanda ni ndogo sana kijografia lakini ni kubwa sana kiintelehensia na nguvu kubwa na muhimu ya jeshi lolote imara duniani ni intelejensia, kwenye hili la intelejensia sitaki kutoa mifano mingi sana ila itoshe kusema Intelejensia ya Rwanda ni kubwa sana na nchi karibu zote za Afrika mashariki na kusini mwa Afrika wanalijua hilo

Huyu Kagame amepikwa hapo Monduli Arusha katika chuo cha kijeshi alafu akapelekwa Morogoro katika eneo la kimkakati na kufuliwa vyema hivyo analijua jeshi kweli kweli mpaka kuwa katika level ya high profile mission sio jambo dogo

Kagame pia anapata faida kubwa ya kuwa Rais pekee wa Afrika mashariki aliyeishi na kukulia maeneo mengi ya kanda hiyo kuliko Rais mwingine yeyote, Kagame ameishi Tanzania, Uganda, Burundi, Congo, hii inambeba pia kiintelehensia, Kagame ni mtu hatari sana hilo matejoo tunakiri wazi kabisa!!
Sipendi aina ya utawala na Tabia za Kagame, lakini nakubali Kwamba Kagame ndio Rais Smart Hapa Afrika Mashariki na Kati
 
Huyu jamaa ni mbabe wa vita katika nchi za Africa mashariki hamna jeshi la kumpiga yaani nchi yake ni kama Israel jamaa anaogopeka sana kawafyeka wanajeshi wa nchi mbalimbali pale Kongo na kashikilia goma umekua mkoa wa rwanda yaani anatisha huwezi kuwa na kiongozi mwanamke na kupasua matofali utarajie kumpiga kagame ni ndoto
Tabula rasa
 
Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!!

Ni rais pekee kutoka eneo la Afrika mashariki ambaye kijasusi tunamuita HIGH PROFILE MISSION ana uwezo mkubwa sana katika intelejensia na hii imekuwa silaha yake kubwa, na ndio maana hata kwenye vita vya Uganda na Tanzania, Kagame ndiye aliyepewa dhamana ya kuongoza intelejensia vita kwa upande wa Tanzania (rejea kikao cha moshi conference )

Intelejensia ya Kagame ni nguzo muhimu sana kwake nyie mnaweza kuona Rwanda ni ndogo sana kijografia lakini ni kubwa sana kiintelehensia na nguvu kubwa na muhimu ya jeshi lolote imara duniani ni intelejensia, kwenye hili la intelejensia sitaki kutoa mifano mingi sana ila itoshe kusema Intelejensia ya Rwanda ni kubwa sana na nchi karibu zote za Afrika mashariki na kusini mwa Afrika wanalijua hilo

Huyu Kagame amepikwa hapo Monduli Arusha katika chuo cha kijeshi alafu akapelekwa Morogoro katika eneo la kimkakati na kufuliwa vyema hivyo analijua jeshi kweli kweli mpaka kuwa katika level ya high profile mission sio jambo dogo

Kagame pia anapata faida kubwa ya kuwa Rais pekee wa Afrika mashariki aliyeishi na kukulia maeneo mengi ya kanda hiyo kuliko Rais mwingine yeyote, Kagame ameishi Tanzania, Uganda, Burundi, Congo, hii inambeba pia kiintelehensia, Kagame ni mtu hatari sana hilo matejoo tunakiri wazi kabisa!!
Acha uzushi kwenye ile vita kagame alikuwa mbwa tu hizo ni story Za ghahawa tu
 
Hata Russia tuliambiwa haya haya lakini huu sijui mwaka wa ngapi anatolewa jasho na Ukrein. Naona week yote hii wanyaruanda mmejipanga kuleta vinyuzi vyenu vya kuwatishia watu wazima nyau,
Russia anapigana na nchi zaidi ya hamsini Kwa pamoja na bado kateka ardhi kubwa sana ya Ukraine
 
Picha za Hao wanajeshi wa hayo mataifa wakipambana na urusi
Nenda kwenye uzi unahusu vita hivyo humu jf utaona siraha na wanajeshi wao na utaona bajeti wanazotenga kwenye hiyo vita pitia Uzi wote kama sio zwazwa utathibitisha.
 
We ndio umeleta hizo blah blah hapa ndio maana nimekuambia thibitisha hapa hapa sio unapiga domo tu hapa kwanza Domo lenyewe linanuka
 
Wewe choko utakuwa unanuka mkundu sio Kwa kuropoka huko
 
Back
Top Bottom