Paul Kagame ndiye Rais mwenye Intelejensia Kali kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki

Naona wengi mnaibeza eti Kwa kusema ardhi Yao ndogo mala population yao watu ni 14m nawaambia siku mkiigusa hiyo nchi Kwa ubora wa jeshi lake mtaaibika vibaya sana msiishi Kwa historia uzuri kagame kashasema anayetaka vita Naye ajaribu zone moto wake huyu ni netanyahu wa Africa maana mataifa yote ya Africa yanamuogopa vibaya sana
Kwann yeye asitujaribu sisi. Aje aichukue hata kagera tu, Ili tujue kua yeye ni mbabe.

Au kwanini anajificha juu ya Mgongo wa M23, Aje front aseme yeye ndo anawasupport M23 aone wanaume wanavo cheza nao kutoka Goma mpaka kigali
 
📌📌📌Dogo acha kusikiliza stori za vijiwe vya kahawa na Tangawizi.
 
Kama yeye mwanaume awaambie hao kunguni M23 wavuke border wajitangazie GEITA ni yao. Alafu waone moto utavyowaka.Kama amechoka kutawala hao watu wake ajaribuTz.
 
Wanyarwanda naona mmetumwa kufanya information warfare, ili kujenga taswira ya uimara wenu, udhaifu wa adui, mnashinda, mko sahihi na kila.kitu kizuri kuhusu Kagame, Watutsi, Jeshi la Rwanda na waasisi mnaowafadhili kwa kushirikiana na Uganda.

Hizi siku mbili tatu tutawafahamu wote kwa nyuzi zenu.
Wanakuja kutupigia PROPAGANDA Tz wakati sisi ndo tumewafunza kila kitu😀😀😀

Mtoto kaota ndevu analeta kibesi nyumbani.Huyu ni wa kufukuzia mbali akajitegemee inaonekana kamekuwa.
 
Huyu jamaa ni mbabe wa vita katika nchi za Africa mashariki hamna jeshi la kumpiga yaani nchi yake ni kama Israel jamaa anaogopeka sana kawafyeka wanajeshi wa nchi mbalimbali pale Kongo na kashikilia goma umekua mkoa wa rwanda yaani anatisha huwezi kuwa na kiongozi mwanamke na kupasua matofali utarajie kumpiga kagame ni ndoto
Imemchukua miaka 20 kuuchukua mkoa..kuwa serious bas wakuu...
 
Wana drones ngapi??, auto pilot planes ngapi? Army yao pmj na reserve ni kiasi gani? Wana missiles ngapi? Tuanzie hapo
Mkuu nadhani hata usingefika huko mbali kote, hata angekuwa navyo amevipata kwa kukwapua madini ya wakongo na kuwauwa haviwezi mfaa. Ananuka laana ya Damu nyingi zilizodhulumiwa.
 
Halaf nmejifunza kitu, kwamba alivokuwa akipewa sifa jiwe, inavisifiwa ccm na inavosifiwa rwanda nkama perfect dudez ila wakirusuhu challenge kidogo tuu chaliii.
 
Najaribu ku imagine hivi, JK (Kikwete ) anausoma hu uzi huku kashikiria glass yake ya shampeni anatabasamu tu, halafu mama Salma anamuuliza, sweet vipi, nini kimekufurahusha? Jamaa kama kawaida yake, anacheka kwanza halafu anampa Salma simu ili nae ajisomee hu uzi, lakini pia kuna yule Mnyakyusa yupo zake Mbeya, bwana General Mwamnyange, katoka zake kukagua ng'ombe wake wa maziwa halafu binti yake mkubwa kampa uzi hu ajisomee; nahisi atakua katikisa kichwa na kumrudishia simu binti yake halafu anatamka maneno haya, "rubish"
Huyu PK si ndio walitakaga hadi kumtoa madarakani hawa 2 mwaka 2014? Leo eti anasifiwa namna hi? How?
 
Ndo ujie kama jf wamo ujue na kwingine wamo. Wakati tunaji mwambafy kuwa dk chache zinatosha kummaliza huku mitandaoni.. Wenyewe wamafanya kweli kujipenyeza kwenye mifumo.
Hakuna wanyarwanda wenye huo upambuvu au uwezo wa kupenya kirahis hivo, kinachifanyika na jamii ya kitusi ambayo imeheshimiwa kupewa uraia nchin lakin kwa ushamba wa kiafrika wanasaliti mataifa yaliyo au yanayo waheshim. Kwa kifupi wanadhihirisha kwamba wao wasio waaminifu kwa jamii zingind just simple.

Ila fikiria kama jamii zingne zikiwafanyia hivo hivo sjui watakuwa wagen wa nan.
 
Nini kifanyike
 
Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!!

Ni rais pekee kutoka eneo la Afrika mashariki ambaye kijasusi tunamuita HIGH PROFILE MISSION ana uwezo mkubwa sana katika intelejensia na hii imekuwa silaha yake kubwa, na ndio maana hata kwenye vita vya Uganda na Tanzania, Kagame ndiye aliyepewa dhamana ya kuongoza intelejensia vita kwa upande wa Tanzania (rejea kikao cha moshi conference )

Intelejensia ya Kagame ni nguzo muhimu sana kwake nyie mnaweza kuona Rwanda ni ndogo sana kijografia lakini ni kubwa sana kiintelehensia na nguvu kubwa na muhimu ya jeshi lolote imara duniani ni intelejensia, kwenye hili la intelejensia sitaki kutoa mifano mingi sana ila itoshe kusema Intelejensia ya Rwanda ni kubwa sana na nchi karibu zote za Afrika mashariki na kusini mwa Afrika wanalijua hilo

Huyu Kagame amepikwa hapo Monduli Arusha katika chuo cha kijeshi alafu akapelekwa Morogoro katika eneo la kimkakati na kufuliwa vyema hivyo analijua jeshi kweli kweli mpaka kuwa katika level ya high profile mission sio jambo dogo

Kagame pia anapata faida kubwa ya kuwa Rais pekee wa Afrika mashariki aliyeishi na kukulia maeneo mengi ya kanda hiyo kuliko Rais mwingine yeyote, Kagame ameishi Tanzania, Uganda, Burundi, Congo, hii inambeba pia kiintelehensia, Kagame ni mtu hatari sana hilo matejoo tunakiri wazi kabisa!!
kagame ni overrated, hana uwezo huo anawaburuza nchi ambazo ni collapse state kama drc na Burundi
 
Hii nakubali
 
Hakuna wanyarwanda wenye huo upambuvu au uwezo wa kupenya kirahis hivo, kinachifanyika na jamii ya kitusi ambayo imeheshimiwa kupewa uraia nchin lakin kwa ushamba wa kiafrika wanasaliti mataifa yaliyo au yanayo waheshim. Kwa kifupi wanadhihirisha kwamba wao wasio waaminifu kwa jamii zingind just simple.

Ila fikiria kama jamii zingne zikiwafanyia hivo hivo sjui watakuwa wagen wa nan.
Unaongea usichokijua.

Kauli ya CDF uliielewa? Au wewe ni mjuaji kuliko CDF?
 
Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!!

Ni rais pekee kutoka eneo la Afrika mashariki ambaye kijasusi tunamuita HIGH PROFILE MISSION ana uwezo mkubwa sana katika intelejensia na hii imekuwa silaha yake kubwa, na ndio maana hata kwenye vita vya Uganda na Tanzania, Kagame ndiye aliyepewa dhamana ya kuongoza intelejensia vita kwa upande wa Tanzania (rejea kikao cha moshi conference )

Intelejensia ya Kagame ni nguzo muhimu sana kwake nyie mnaweza kuona Rwanda ni ndogo sana kijografia lakini ni kubwa sana kiintelehensia na nguvu kubwa na muhimu ya jeshi lolote imara duniani ni intelejensia, kwenye hili la intelejensia sitaki kutoa mifano mingi sana ila itoshe kusema Intelejensia ya Rwanda ni kubwa sana na nchi karibu zote za Afrika mashariki na kusini mwa Afrika wanalijua hilo

Huyu Kagame amepikwa hapo Monduli Arusha katika chuo cha kijeshi alafu akapelekwa Morogoro katika eneo la kimkakati na kufuliwa vyema hivyo analijua jeshi kweli kweli mpaka kuwa katika level ya high profile mission sio jambo dogo

Kagame pia anapata faida kubwa ya kuwa Rais pekee wa Afrika mashariki aliyeishi na kukulia maeneo mengi ya kanda hiyo kuliko Rais mwingine yeyote, Kagame ameishi Tanzania, Uganda, Burundi, Congo, hii inambeba pia kiintelehensia, Kagame ni mtu hatari sana hilo matejoo tunakiri wazi kabisa!!

Unaacha kuiombea Rwanda 🇷🇼 halafu wewe sijui unaongea nini. Wee hujui kama nchi nzima ina muabudu au kumtegemea mtu mmoja ni maafa. Yaani Rwanda ukimtoa Kagame yaani hakuna nchi. Sasa hiyo ni hatari. Rwanda muamuzi wao ni muda tu. Kagame anavyozidi kuzeeka, ndivyo Rwanda nayo inavyozidi kuwa dhaifu. Hatari sana
 
Unaongea usichokijua.

Kauli ya CDF uliielewa? Au wewe ni mjuaji kuliko CDF?
Nop, sina maana hiyo japokuw xote ni factorz zinazo pelekea utiliwaj mashaka ya uslama dhid ya uwepo wa wagen au watu wenye utii au asili ya nchi zingne.
 
Back
Top Bottom