Hubble Telescope
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 426
- 527
Wana drones ngapi??, auto pilot planes ngapi? Army yao pmj na reserve ni kiasi gani? Wana missiles ngapi? Tuanzie hapoNaona wengi mnaibeza eti Kwa kusema ardhi Yao ndogo mala population yao watu ni 14m nawaambia siku mkiigusa hiyo nchi Kwa ubora wa jeshi lake mtaaibika vibaya sana msiishi Kwa historia uzuri kagame kashasema anayetaka vita Naye ajaribu zone moto wake huyu ni netanyahu wa Africa maana mataifa yote ya Africa yanamuogopa vibaya sana