Paul Kagame ndiye Rais mwenye Intelejensia Kali kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki

Nini kifanyike
Ni kufanya analyisis ya kina ya watu au wageni ambao ni hatari kwa usalama wa nchi. Then wawe marked. Then tujiulze waliungiaje au wanaingiaje kisha tuzibe nyufa zilizotufisha tulipo. Wakat huohuo tukiiendelea kukata network iliyopo kwa sas ikiwa ipo.
 
Mwanazuoni wa Uingereza Prof Christopher Andrew kutoka Cambridge University ni moja kati ya wanazuoni wanaosomwa kwenye vyuo vyote vya kiintelijensia na kijeshi, kwasababu amefanya tafiti za kutosha kuhusu ujasusi, hasahasa wa mataifa makubwa kama Britain, USA na USSR kwa miaka zaidi ya 50.

Yeye ni moja kati ya wasomi wa kwanza kabisa wa Magharibi kupitia nyaraka zilizoibwa USSR na Vasili Mitrokhin na kuzichambua na kuandika kitabu kiitwacho "The Mitrokhin Archives" ambacho kilitoa kwa undani zaidi kwanini KGB lilikuwa ndiyo shirika bora na hatari duniani.

Kwenye moja kati ya kazi zake, huyu Prof aliwahi kusema hivi "Kuwa na taarifa za kijasusi ni jambo moja" na "Kuweza kumshinda adui kijeshi ni jambo jingine kabisa linalohitaji vitu vingi zaidi ya ujasusi". Hapa alitoa mfano wa Uingereza kwenye WW2 walikuwa na taarifa za undani zaidi kuhusu Ujerumani kuliko hata Ujerumani walikuwa na taarifa za Uingereza, lakini walipokutana vitani Waingereza walilambishwa mchanga.

Kiufupi vita na ujasusi vinaendana sana, japo ukweli ni kwamba vita ikishaanzishwa baina ya mataifa makubwa, huwa ina kawaida ya kuchukua maisha yake yenyewe "A life of its own" tofauti kabisa na siasa na propaganda, maana uhalisia huwa unaingia ndani ya nyumba (Reality Kicks In) na zile nyenzo za kijasusi kama "Assumptions","Presumptions", "Information" and "Intuition" huwa hazifanyi kazi moja kwa moja kukusaidia kumdhibiti adui mwenye Massive Firepower kuliko wewe.

Lakini, jambo kubwa ambalo wengi tunamsifia Kagame na kuitukana Tanzania ni kwamba "Modus Operandi" ya Military Intelligence na Civilian Intelligence ni vitu viwili tofuati kabisa, kimalengo (Goals and Objectives) na upana wa kazi (Scope of Operations). Hivyo kuangalia upande mmoja tu wa tasnia ya ujasusi na kuhitimisha kwamba Paul Kagame yuko imara, ni jambo ambalo muda siyo mrefu linaweza kuwaumiza watu.
 
Mmmh!
 
Akishinda jeshi la Burundi pale Uvira DRC atakua kweli ana intelligensia , ila nakutabilia tu kuwa mpaka mpaka May 2025 M23 yake itakua ishakimbia Goma
 
Haya ndiyo yaleyale ya Waisrael kujiona superior na wengine wote ni inferior
!! Wakati nyuma ya pazia kuna watu wanakusaidia, wakitoa mikono yao unabaki kulia. Yani haka ka Rwanda bila kukachapa mapema ujinga ule wa Middle East unakuja Afrika maana wao wanajiona bora, wana uwezo wa kupigana na yeyote kwasababu wana akili sana. Wanajiita kizazi cha Israel! 🙄
 
Kagame mbele Hana Miaka hata 15 baada ya hapo nini kitatokea
Endelea kuhisi RPF ni ccmu , RPF walishaanza wapika watu muda sana na wameunda mfumo mtu yeyote akikaimu ataendelea pale pale alipoishia mwenzie , Kagame kaunda migogoro itakayoifanya Rwanda iwe hivyo alivyoiacha miaka nenda rudi maana wakitoka nje ya njia wahutu watalipiza kisas, wakongo watalipiza kisasi
 
Kagame ame ni mwamba,ila ukiwa huna Akili lazima utamchukia.
 
We umejuaje? Wenye intelijensia kali, huwa, hawajitqngazi bro!
Kagame anatumika tu, kama alivyokuwa savimbi! USA, Ufaransa, ndio wanaiba madini kwa, kumtumia Kagame, usidanganywe na kelele za US!
Kipindi cha Vita baridi, CIA ilikuwa inafsnya biashara ya kuuza madawa ya kulevya ndani ya US, na kwingine ili kupata pesa ya kugharamia Vita zake huko Latin America!
Wakati huo huo, DEA(wanapambana kukamata wauza madawa na, wanaoyaingiza ndani, ya, US), ilipofika DEA, wamemkamata drug Lord ambaye anafsnya biashara na CIA, DEA wakaambiwa, muachieni! Usicheze na America na MTU mweupe,tulips lala,ndio alipoamka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…